Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,409
- 39,473
Habarini Wadau,
Kwanza kabisa nipongeze zoezi lililofanywa na serikali ya awamu ya tano ya kukagua vyeti vya watumishi wa Umma kuanzia February mwaka jana.
Ni zoezi ambalo lilikuwa na lengo zuri sana la kuzuia walipwaji hewa na wale wanaopokea mishahara ya watu wengine na hata ambao walikuwa marehemu tayari.
ILA NINA SWALI MOJA LA MUHIMU SANA.
■ Hivi Watumishi wa Umma ni WAALIMU TU?
Mbona wapo wasomi na wananchi waliopendekeza ukaguzi wa vyeti uanzie kwa viongozi wa juu lakini haikufanyika hivyo au walipuuzwa?
Viongozi wao ni:-
-Mawaziri
-Wabunge
-Wakuu wa wilaya
-Wakuu wa Mikoa
Tunaomba kama serikali ipo serious katika hili na haina UBAGUZI wowote, Mh. Waziri Ndalichako bila kuangalia sura ya mtu naomba uanze zoezi la ukaguzi.
Hatutaki tena kuongozwa na watu wasio na vyeti sahihi na weledi wa kutosha.
Nawasilisha.