habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 456
hotuba nzima inapatikana hapa Ministry of Labour and Employment
Vipi posho za masalia na mavijana ya maCCM yanayoshinda JF, ( Lumumba project) imepanda?
Unaandika ka unakimbizwa ili kuongeza post? Jitahidi ku-post utapigwa chini mpaka sana una Posts : 1,926? utakosa post posho mpya!hata yawa beba sumu wa kinondonhi imepanda pia
Vipi ya akina Kinana nayo imeenda juu? au yeye tembo wanamtosha?hata yawa beba sumu wa kinondonhi imepanda pia
Vipi ya akina Kinana nayo imeenda juu? au yeye tembo wanamtosha?
Vipi posho za masalia na mavijana ya maCCM yanayoshinda JF, ( Lumumba project) imepanda?
Vipi posho za masalia na mavijana ya maCCM yanayoshinda JF, ( Lumumba project) imepanda?
matokeo ya ziara ya kichama morogoro na ile hotuba ya majumuisho ya kinanaVipi ya akina Kinana nayo imeenda juu? au yeye tembo wanamtosha?
Mkuu ya masalia (Lumumba project) ilipitishwa, inaitwa presidential delivery unit (PDU), si unajuwa tena mambo yetu yale ya kufuatilia miradi inaendaje, Chama (CCM) kiliona ni bora payroll yao iingizwe humu. CDM wanafuatilia sana Richmond,meremeta,dowans so kama chama ilionekana ni vyema ipitishwe kisheria, yaani malipo yote ya Lumumba project yanaingia PDU (presidential delivery unit), ni matumaini umeelewa!Vipi posho za masalia na mavijana ya maCCM yanayoshinda JF, ( Lumumba project) imepanda?
Mbona unacheka cheka we mdada?ha ha ah ha h ah aaa haaaaa aaaa, mkuu umenifurahisha sana, hata ile 200= per post inayotolewa kwa vijana wa chadema pale mtaa wa ufipa pia itapanda, sasa itakuwa 250/=
Namkumbuka huyu mama alikuwa mkuu wangu wa chuo pale Butimba Mwanza akishirikiana na mama mwadili Malingumu...Ni mtu mzuri sana lakini chini ya haya Maccm yatakuwa yameshampolute kabisa kiasi kwamba amesahau kwamba sisi hatuhitaji mamishahara ya ajabu afute kodi kwenye mishahara maana kwa rasilimali tulizonazo ilipaswa wageni ndo watulipie kodi na sisi kama sehemu ya uwekezaji wao hapa na mataifa yote wafanyavyo hii ni kama muujiza mgeni kufanyiwa hapa kwetu...Hivi ibilisi na sheetwani Mwigulu Chemba la Choo yupo wapi na uchumi wake wa daraja la kwanza..
Masisiem bhana kwa hoja dhaifu!!yaani toka tuwashtukie na kimradi chenu cha lumumba basi mnafikiri na sisi tupo hivyo,nape lazima awashikishe uku...a msipopost mapovu yenu na ma id kibao kibao humu,CHADEMA ni mume wenu hata mkwepe vipi lazima mlale bila pichu...mkuu kaangalie vizuri ongezeko la posho zenu mnazolipwa pale kinondoni kushinda humu huku mkilialia kwa mods wawalinde......200 per post haikidhi kabisa maisha ya sasa ambayo yamepanda hivi
mkuu kumbe upo kwenye payroll ya Lumumba?hata yawa beba sumu wa kinondonhi imepanda pia