Waziri wa Habari, fungia Al-Jazeera kwa uchochezi

Eti serikali inapendwa na wananchi, mtoa post ni mfanyakazi wa Twaweza?
Nani kakudanganya kuwa wananchi wanaipenda serikali?
Ukitaka kujua wanaipenda au wanaichukia, iwekwe tume huru ya uchaguzi.
Halafu nenda milembe ukatibiwe, Nape siyo waziri wa Qatar, Kwa hiyo hawezi kuifungia Aljazeera, TV ya Aljazeera ipo ktk taifa la Qatar, na Kwa hapa Tanzania hupatikana kupitia king'amuzi, au unataka avifungie ving'amuzi?
Nimeshasema mara nyingi, wana ccm ni mambumbumbu ya kutupwa.
U didnt get sacarsm behind his p0st.p0le.
 
Kazi nzuri sana, hongera mtoa mada. Nasikitika sana GTs mmeniangusha sana, hata wale nnao wakubali leo ghafla mmekuwa wa kukurupuka kama kina fulani. Hivi ndugu zangu GTs mmepatwa na nini!?
 
Nahisi wewe umesoma maandishi ila hujamsoma mwandishi
 
Kazi nzuri sana, hongera mtoa mada. Nasikitika sana GTs mmeniangusha sana, hata wale nnao wakubali leo ghafla mmekuwa wa kukurupuka kama kina fulani. Hivi ndugu zangu GTs mmepatwa na nini!?
Wengi walikuja na mihemuko, waliposoma tu sentence ya kwanza tu waliacha na kucomment, na ndo tabia ya GT wa humu
 
Tanzania's Magufuli criticised on freedoms after a year in power

Tanzania's President John Magufuli is approaching his first anniversary in power.
While his tough stance against corruption and plans to grow the economy have increased his popularity, restrictions on the opposition and the media are widely criticised.

Source: Al Jazeera English
 
Back
Top Bottom