Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,640
- 164,788
- Thread starter
-
- #161
Mwingine mwenye lugha hiyo ni prof.MsolwaNitamkumbuka Mgimwa kwa Lugha za "INNE" ambayo ni Nne!
Wewe Mbunge wako ni Msigwa. Halafu tunaomba utuletee ile list ya wale waliochanga rambirambi ya Mwangosi tena iwe katika pound au euro siyo hayo madafu uliyotuletea ili tujie kiasi ulichotafuna na utuambie utakirudisha lini kwa mjane wa MwangosiGet well soon Mbunge wangu.
Wao Wanafia ng'ambo,halafu wapiga kura wanalala chini muhimbili
... Nayo ni maombi pia......Kila mmoja aombe atakavyo......Ila hakuna kupiga kura.....ni yeye pekee aamuae....fia huko.....
.... Kwa sababu ipi mkuu??............kisha ujiuzulu
Mwingine mwenye lugha hiyo ni prof.Msolwa
Binafsi, huwa sipendi kabisa hayo matamshi ya "inne" badala ya kutamka "nne".