Waziri wa fedha Mahututi

kama JK anajua atakaufa kwanini wengine muanze jifanya mnamwombea..?km alikuwa wa Mungu kwanini umeingia upande wa magamba
 
Sawaaaaa.....sasa cjui itakuwa ni shinikizo la damu kama kawaida ya wakubwa!!!!!!!!!!
Mill Park wameingia contract na TZ government kutibu viongozi wote pale. Du, bonge ya dilli wameipata. All in all dr I wish you a quick recovery.
 
Wakina Ulimboka wakipiga kelele Muhimbili na hospitali zetu ziboreshwe kwa kupewa vifaa na Madaktari wawezeshwe wanaishia kung'olewa meno na kucha. Kumbe yote hii ni kuwa kiongozi akiugua chochote apelekwe nje na maafisa wapate safari na posho za shoping huko aliko.
CCM KWELI IMESHINDWA KUONGOZA NCHI.
 
Wao Wanafia ng'ambo,halafu wapiga kura wanalala chini muhimbili
Watanzania wote tukipelekwa ng'ambo hatuwezi kutosha. Tumia hata sehemu ndogo tu ya akili yako kufikiri.
 
ina maana madokta wa kibongo wameshindwa? huko inatakiwa waende wafanya biashara, sio watumishi wa serikali!
 

huyu waziri hakuwa na ugomvi na mtu wa Mwandiga kama unaelekea Manyovu kweli.
cc.Mudhil Mudhil
 
Tunamwombea apone haraka ili aje kujionea KODI YA LAINI ZA SIMU ilivyoiboresha HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI .
 
kwanini hakulazwa kwa wabongo wenzake hapa bongo -Mhimbili?
 
Ingekua kila raia anapewa uzito katika matibabu kama viongozi wa serikali basi hospital zetu zingekua na hali nzuri sana.Tatizo wakiumwa wanakimbizwa nje nani ataboresha hosp zetu?

Ugua pole Gamba kama una pesa Uswizi zirejeshe wasije jikausha nazo endapo .....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…