Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako afuta posho za kusahisha mitihani ya Mock na NECTA

sidhani kama mwalimu aliye kijijini anayefundisha masomo yote kuanzia la kwanza mpaka la saba atakuelewa.. lakini time will tell
 
Not Offical confirmed information
 
Basi na Wabunge wasilipwe sitting allowance
 
Safi sana sasa afute na mishahara kabisa aweke tu chakula cha mchana shuleni ajenge mabweni ya walimu karibu na shule tuchape kazi aisee "haoa kazi tu"
 
Ni muda wa kufanya kweli...... Kupatwa kwa elimu
Walimu muda ndo huu
Walimu tuna hali ngumu, WALIMU.

Na sisi tuna umuhimu, WALIMU.

good morning teacher! Goodmorning Sir! Kunuka zeze!

MWALIMU hicho kisambaa..! Nimechanganyikiwa mpaka naongea kisambaa darasani..!

By Late Johnwalker n Mkoloni. Poleni sana walimu.
 
ila yeye pesa na posho zake zinaingia kama kawaida ... au sio? za uwaziri na bungeni Dodoma za vikao .au sio?
kama yeye ni mzalendo kweli si angeanza na kufuta posho zake?...
kwa hili la waalimu ..amebugi sana
 
Walimu tuna hali ngumu, WALIMU.

Na sisi tuna umuhimu, WALIMU.

good morning teacher! Goodmorning Sir! Kunuka zeze!

MWALIMU hicho kisambaa..! Nimechanganyikiwa mpaka naongea kisambaa darasani..!

By Late Johnwalker n Mkoloni. Poleni sana walimu.
Pole ya nini? Naumwa?
 
Inasikitisha sanaaa!!!
 
Kazi sanaaa!!
Motivation inasomwa Chuoni kwenye Madarasa.
Mazingira halisi, Inakatazwa!!!
 
Hii taarifa kamwe haiwezi kua ya kweli...marking ni jambo sensitive sana,sizani km Prof Ndalichako anaweza kuliingizia mzaha,huenda mleta mada umemnukuu vibaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…