YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
- Thread starter
- #21
mimi sio mwingereza na starajii kuwa mwingerezaxhicho kinatosha.Kwangu kingereza ni.lugha ya tatu .Nsongea ya kwanza kulugha ya pili kiswahili ya tatu kingereza.Huwezi nilinganisha na mwingereza au mmarekani ambaye toka kuzaliwa anaijua lugha moja tu kingereza!Kiingereza chako kinatia aibu sana.
Tanzania tuna vibaraka wachache wa waingereza wanakijua kwelikweli sio utani mimi si kibaraka wa mwingereza