Waziri wa chakula na ushirika umelala usingizi wa namna gani?

MPINGE

Member
Apr 20, 2013
43
4
Nathubutu kusema waziri wa chakula na ushirika kalala usingizi wa namna gani baada ya wananchi wake wnapouziwa mbolea za kupandia zinazosadikika ni fake, mfano dap iko ya aina mbili yaani primium mifuko yake ni ya buluu na kwa ndani ni nyeusi bei yake ni 67000 kwa mfuko na nyingine iko chapa meli kwa ndani ni nyeupe na bei yake ni 70000, tatizo langu ni kwamba nchi moja kuwa na mbolea zenye bei tofauti, je hapa kuna ubora wa mbolea hizi? Ningependa serkali itoe ufafanuzi kuokoa asilimia 80 ya watanzania wanaotegemea kilimo ili wasije wakaingia mkenge.
 
Allshatajwa kuwa ni mzigo, tangu apewe wizara hajawahi enda mikoani kukutana na wakulima ila amekuwa akisafiri sana kwenda nje ya nchi, cha kushangaza January Makamba ndiye alikwenda Ruvuma ambako kumetajwa kuwa ni ghala ia chakula la taifa na kufuatilia matatizo ya wakulima
 
Back
Top Bottom