ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,785
Programu ya utoaji wa ruzuku ya mbolea Kwa wakulima imezaa matunda Kwa uzalishaji wa mazao ya chakula na nafasi kuongezeka mara dufu huku rekodi iliyowekwa mwaka 2015 ikivunjwa rasmi.
Hongera Sana Wakulima na hongera sana Rais Samia na Waziri Bashe Kwa kazi nzuri inayoonekana.Sasa maghala ya Hifadhi za chakula nfra yamefurika na hivyo Nchi Iko tayari kukabiliana na janga la njaa in case litatokea Kwa sababu za looming of El nino.
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1713113617522884789?t=Hng96GapdKHQinwN760HXw&s=19
My Take
Nilimsikia Rais anasema programu hii ya ruzuku itakoma 2025 but niiombe Wizara na Serikali ya Mama kuendelea kutoka ruzuku za pembejeo Hadi hapo bei za mbolea nk zitakaporudi kuwa wastani kama zamani.