Waziri wa Ardhi Jerry Slaa kabla ya kuitoa hii Kauli yako Uliaga Kwenu au Kusali sana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,130
"Napiga marufuku Vituo vya Mafuta ( Petrol Stations ) Kujengwa kiholela Mitaani hasa karibu na Makazi ya Watu" Waziri wa Ardhi Jerry Slaa.

Jerry Slaa ( Waziri wa Ardhi ) umejiamini nini kwa hii Kauli yako wakati Mafia wakubwa walioko nchini na waliomshika Akili na Masikio Qeen Sheba ndiyo kwa 85% wanamiliki hizo Petrol Stations na hawagusiki na yoyote Tanzania hii?

Kuwa makini nao sana Waziri sawa?
 
Mi namshangaa mheshimiwa ! Sasa vituo vikawekwe porini ?? wasikoishi watu ??? Nani atanunua mafuta hayo ???
Nenda nchi mbalimbali utaona vituo vyote vipo mjini lakini vinatenganishwa na makazi ya watu kwa ukuta !!! Nenda Dubai, Sharjah ,Newyork, Istanbul, Johanmesburg , nk. vituo vipo mjini katikati ! ila ukuta umetenganisha na makazi ya watu !!!!
 
Mipayuko.com
 
Halafu nimkumbushe tu mheshimiwa ! Hata professa Mkenda alipopelekwa kuwa waziri wizara ya kilimo alitoa matamshi kuwa kama yeye ni waziri basi hatakubali kamwe sukari toka nje iingie Tanzania.Sasa sijui alifanikiwa kuzuia hiyo sukari isije ? nnachojua ye saa hizi ni waziri wa elimu.Naona tukipataga mawaziri wapya huwa hawaamini kama wameteuliwa na huja na matamko kabla ya kutafakari.Nakumbuka pia Kingwalangwala alipoteuliwa waziri wa afya aliporipoti tu wizarani ye aligeuka mlinzi wa mlangoni huku akisainisha watu ktk daftari la mahudhurio yote ni kuchanaganyikiwa; unapopata uwaziri huku mtu ukiwa hutarajii hivo unafanya vitu vinavoshangaza.
Labda nimuulize tu je leseni za vituo vya mafuta wanatoka wizara ya ardhi ???? au unataka kutengeneza mazingira ??? TAKUKURU MPO ????
 
"Napiga marufuku Vituo vya Mafuta ( Petrol Stations ) Kujengwa kiholela Mitaani hasa karibu na Makazi ya Watu" Waziri wa Ardhi Jerry Slaa.

Jerry Slaa ( Waziri wa Ardhi ) umejiamini nini kwa hii Kauli yako wakati Mafia wakubwa walioko nchini na waliomshika Akili na Masikio Qeen Sheba ndiyo kwa 85% wanamiliki hizo Petrol Stations na hawagusiki na yoyote Tanzania hii?

Kuwa makini nao sana Waziri sawa?
Ukiona waziri anatoka na kauli kama iyo jua ana back up ya mteule wake usizan jerry ni kichwa panzi kama chako

Kumbuka baada ya uapisho wake waliambiwa waliteta na mkubwa
 
"Napiga marufuku Vituo vya Mafuta ( Petrol Stations ) Kujengwa kiholela Mitaani hasa karibu na Makazi ya Watu" Waziri wa Ardhi Jerry Slaa.

Jerry Slaa ( Waziri wa Ardhi ) umejiamini nini kwa hii Kauli yako wakati Mafia wakubwa walioko nchini na waliomshika Akili na Masikio Qeen Sheba ndiyo kwa 85% wanamiliki hizo Petrol Stations na hawagusiki na yoyote Tanzania hii?

Kuwa makini nao sana Waziri sawa?
magufuli angekuwepo hawa mafia kifinyo wangekipata na kushika adabu zao
 
Mi namshangaa mheshimiwa ! Sasa vituo vikawekwe porini ?? wasikoishi watu ??? Nani atanunua mafuta hayo ???
Nenda nchi mbalimbali utaona vituo vyote vipo mjini lakini vinatenganishwa na makazi ya watu kwa ukuta !!! Nenda Dubai, Sharjah ,Newyork, Istanbul, Johanmesburg , nk. vituo vipo mjini katikati ! ila ukuta umetenganisha na makazi ya watu !!!!
siku vikilipuka ndo utajua hujui!!! vinatakiwa kujengwa kandokando ya barabara kuu highways...na kama ni mtaaani iwe maeneo ya wazi kama karibu na kando ya mbi za jeshi,,,,{wana maeneo makubwa,,,,,,}sasa izi kitaa alf nyumba zimebanana ni noma rafiki!!
 
Kuna moja nimeona inajengwa eneo fulani yaan imezungukwa na nyumba za watu alafu eneo limebana balaa yaan jamaa wamelazimisha tu kuweka kituo cha mafuta Ila sio eneo la Kujenga kituo cha mafuta, sasa najiuliza ikitokea isivyotakiwa kutokea pakaripuka itakuaje?
 
Back
Top Bottom