Muwe mnajifunza si kuuliza swali kama vile unajibu kuwa kakosea,Benk hii ipo chini ya Wizara yake .Habari hapo ni kimbele2 cha kiuliza swali hili mbele ya halaiki! Hivi hajiulizi hiyo riba kwa nini ipo juu! Tanzania hakuna benki hiyo,hiyo ni SACCOS YA CCM I.Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swanli Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Hajatoa kauli kama Mwakilishi wa Makamo ingawa imetangazwa hivyo.. si angesema kwa niaba ya Mh makamo taarifa imfikie ... ila yeye kasema mimi sitakubali..nileteeni taarifa mimi...how comez mkuu?Uwe unaskiliza taarifa ya Habari vizur usikurupuke ka mwakilisha Makamu wa Rais ndo maana kaenda hapo
Kimbelembelee kimenifanyaaaaa ni elimike.....Muwe mnajifunza si kuuliza swali kama vile unajibu kuwa kakosea,Benk hii ipo chini ya Wizara yake .Habari hapo ni kimbele2 cha kiuliza swali hili mbele ya halaiki! Hivi hajiulizi hiyo riba kwa nini ipo juu! Tanzania hakuna benki hiyo,hiyo ni SACCOS YA CCM I.
Kuna madogo wanaudhi. Mtu hajui ila anaona wenzie vilaza. Tuache ujuaji tujifunze zaidi. Tunaelezwa bila takwimu za suala fulani huna ruksa ya kuongelea suala husika. CEO ni mtawala pamoja Na majukumu ya kisekta. Utadhani anawajibishwa Na Bodi bali anawajibika kinidhamu pia kwa supervisor wakeUsilale tupeane Infoz sahihi.. kwa faida yetu sote.... Elimu haina mwisho...
POLE MKUU UANDISHI TU,HAPO KIMBELEMBELE NI UMMY! Wewe kosa lako uliuliza swali kama vile unaona Ummy si lake! CCM WAJE HAPA WABISHE KUWA HII si SACOSS ,HIZO MBWEMBWE ZA KUMPA CEO SIKU TATU NI ZA KYWADANGANYA WAJINGA! TWB SIO BENKI NI SACCOSS!Kimbelembelee kimenifanyaaaaa ni elimike.....
Benki ya Post a inatoza interest ya 20% kwa pesa ûnayokopani kweli angefaaa aulize BOT kwanza any way ni siasa Tuuu
Kaka unachekesha ulitaka taarifa ya Habari ianze anatajwa aje kuhutubia na kuanza kusalimia kabisa then aje kwenye point maana ingekuwa hvyo taarifa za Habari zisingetoshaHajatoa kauli kama Mwakilishi wa Makamo ingawa imetangazwa hivyo.. si angesema kwa niaba ya Mh makamo taarifa imfikie ... ila yeye kasema mimi sitakubali..nileteeni taarifa mimi...how comez mkuu?
Kaka ukirejea thread yangu juu ya utumbuaji majipu nimeeleza haya mambo,yaani tz sasahvi kila.bosi anatafuta kiki.Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Inaonekana upeo wako wa kufikiria ni mdogo sana,serikali ya awamu ya Tano katika kupunguza garama za matumizi wakaamua kuunganisha wizara,sasa kabla ya kuuliza swali ungesoma kwanza jina la wizara ndio ungekuja na mihemuko yako ya kuhoji huku JF house of great thinkers,Ila onaonekana umekurupuka kuanzisha thread bila kufanya upembuvi akinifu wa jambo unalo taka kuhoji,na ndio ugonjwa mkubwa unaotusumbua Watanzania wa mihemuko na kukurupuka.Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Na wewe ni kati ya wale Bank tellers anaozungumzia Masanja Mkandamizaji!?Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Hajakosea majukumu lakini ishu ya Riba ni very sensitive, hasa ukiangalia risky wanazoingia katka kukopesha.. sio kila kitu ni siasa... ukweli ni kwamba watanzania wengi tunaokopa bank tukipata mwanya hatulipi.....bado kuna issue ya ROI.... Loan ni product moja lakini vile vile ni muhimu kupata faida..... kwamba serikali ina hisa TWB...so what? hao share holders wengine wanataka hasara? Serikali si ikopeshe hela bure sasa....???? Siasa zetu za hovyo sana