Waziri wa Afya na benki ya wanawake wapi na wapi?

Inashangaza sana nimeona alivyokua anaongea nikaona kazi ipo...manake suala la financial regulation lina taratibu zake sio siasa tu..ukiendesha bank kwa mihemko ya siasa inakufa tu baada ya siku mbili...mikopo na riba zake ni suala la muda mrefu sana kwa hapa tz..
 
Jamani katka bunge lililopita Sofia Simba alipata wakati mgumu kuhusu hii BENKI yeye na aliyekuwa naibu waziri wake.Lakini Ummy Mwalimu na wenzake wa NDIYOOOOO walimtetea saana Sofia Simba...saaa leo inakiwaje mpaka anadiriki kusema Serikali hii ya Magufuli haina kuoneana haya....ni yaleyale ya February ya kulindana....Mh.Rais kazi unayo lakini tuko nyuma yako..wangifoe tu.
 
Asante KWA kuniita kilaza. Kumbe mtu kuelimisha anakuwa kilaza? Ubarikiwe nami ngoja nilale Na ukilaza wangu
Usilale tupeane Infoz sahihi.. kwa faida yetu sote.... Elimu haina mwisho...
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swanli Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Muwe mnajifunza si kuuliza swali kama vile unajibu kuwa kakosea,Benk hii ipo chini ya Wizara yake .Habari hapo ni kimbele2 cha kiuliza swali hili mbele ya halaiki! Hivi hajiulizi hiyo riba kwa nini ipo juu! Tanzania hakuna benki hiyo,hiyo ni SACCOS YA CCM I.
 
Uwe unaskiliza taarifa ya Habari vizur usikurupuke ka mwakilisha Makamu wa Rais ndo maana kaenda hapo
Hajatoa kauli kama Mwakilishi wa Makamo ingawa imetangazwa hivyo.. si angesema kwa niaba ya Mh makamo taarifa imfikie ... ila yeye kasema mimi sitakubali..nileteeni taarifa mimi...how comez mkuu?
 
Muwe mnajifunza si kuuliza swali kama vile unajibu kuwa kakosea,Benk hii ipo chini ya Wizara yake .Habari hapo ni kimbele2 cha kiuliza swali hili mbele ya halaiki! Hivi hajiulizi hiyo riba kwa nini ipo juu! Tanzania hakuna benki hiyo,hiyo ni SACCOS YA CCM I.
Kimbelembelee kimenifanyaaaaa ni elimike.....
 
Usilale tupeane Infoz sahihi.. kwa faida yetu sote.... Elimu haina mwisho...
Kuna madogo wanaudhi. Mtu hajui ila anaona wenzie vilaza. Tuache ujuaji tujifunze zaidi. Tunaelezwa bila takwimu za suala fulani huna ruksa ya kuongelea suala husika. CEO ni mtawala pamoja Na majukumu ya kisekta. Utadhani anawajibishwa Na Bodi bali anawajibika kinidhamu pia kwa supervisor wake
 
Kimbelembelee kimenifanyaaaaa ni elimike.....
POLE MKUU UANDISHI TU,HAPO KIMBELEMBELE NI UMMY! Wewe kosa lako uliuliza swali kama vile unaona Ummy si lake! CCM WAJE HAPA WABISHE KUWA HII si SACOSS ,HIZO MBWEMBWE ZA KUMPA CEO SIKU TATU NI ZA KYWADANGANYA WAJINGA! TWB SIO BENKI NI SACCOSS!
 
Hajatoa kauli kama Mwakilishi wa Makamo ingawa imetangazwa hivyo.. si angesema kwa niaba ya Mh makamo taarifa imfikie ... ila yeye kasema mimi sitakubali..nileteeni taarifa mimi...how comez mkuu?
Kaka unachekesha ulitaka taarifa ya Habari ianze anatajwa aje kuhutubia na kuanza kusalimia kabisa then aje kwenye point maana ingekuwa hvyo taarifa za Habari zisingetosha
 
Alichosema Ummy ni sahihi kabisa. Huinndio uanasiasa. Unaongea, unapigiwa makofi. Atakachofanya CEO wa TWB ni kumpelekea taarifa ya taratibu za uchukuaji mikopo na kwa nini riba iko hapo ilipo. Anaweza kusoma taarifa hiyo (ingawa naamini hataisoma). Mambo yataishia hapo. Akilazimisha riba iteremke benki itakufa.
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Kaka ukirejea thread yangu juu ya utumbuaji majipu nimeeleza haya mambo,yaani tz sasahvi kila.bosi anatafuta kiki.
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Inaonekana upeo wako wa kufikiria ni mdogo sana,serikali ya awamu ya Tano katika kupunguza garama za matumizi wakaamua kuunganisha wizara,sasa kabla ya kuuliza swali ungesoma kwanza jina la wizara ndio ungekuja na mihemuko yako ya kuhoji huku JF house of great thinkers,Ila onaonekana umekurupuka kuanzisha thread bila kufanya upembuvi akinifu wa jambo unalo taka kuhoji,na ndio ugonjwa mkubwa unaotusumbua Watanzania wa mihemuko na kukurupuka.
 
Waziri wa Afya alikua akimuwakilisha Makamu wa Rais hivyo aliongea kwa niaba ya Makamu wa raisi ambae ana mamlaka hayo
 
hii wizara ni nyeti ilipaswa kukaa yenyewe manake inadeal na afya za watu. afya itaweza haya majukumu mengine
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Na wewe ni kati ya wale Bank tellers anaozungumzia Masanja Mkandamizaji!?
 
Jaman wadanganyika ow! sorry watanganyika Mh waziri yuko sawa, kwa swala la riba kubwa ni contrary na madhumuni ya kuanzishwa kwa bank hiyo hivyo regardless kuwa haiko kwenye wizara yake kama kiongozi anawajibika kuhoji na kupewa majibu then in collaboration with minister of finance off course na BOT wataangalia na kurekebisha.

"At TWB we aim to deliver outstanding banking services and financial solutions. We aspire to appropriately address a range of problems and challenges faced by women entrepreneurs in accessing loans in various banking and financial institutions due to a range of reasons which include but are not limited to: high interest rates, lack of collateral and unavailability of financial services in rural areas"
 
Hata mimi nilipata mashaka niliposikia mtu anapewa siku tatu ajieleze kwa nini riba ni kubwa...
Ila poa...amuandikie mchanganuo wa faida na hasara za hiyo benki...
Aikawii kuwa balance sheet inasoma red...

kama inatumiwa kupitisha misaada ya wanawake toka serikalini powa...
kama inaendeshwa kibiashara kuingiza siasa kutaiua kama mashirika yetu pendwa yalokufa Enzi za mwalimu...

Hajakosea majukumu lakini ishu ya Riba ni very sensitive, hasa ukiangalia risky wanazoingia katka kukopesha.. sio kila kitu ni siasa... ukweli ni kwamba watanzania wengi tunaokopa bank tukipata mwanya hatulipi.....bado kuna issue ya ROI.... Loan ni product moja lakini vile vile ni muhimu kupata faida..... kwamba serikali ina hisa TWB...so what? hao share holders wengine wanataka hasara? Serikali si ikopeshe hela bure sasa....???? Siasa zetu za hovyo sana
 
Back
Top Bottom