Waziri wa Afya na benki ya wanawake wapi na wapi?

meku7

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
375
266
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
 
Sijaelewa kabisa........ni kivipi.....?....
Na mimi nashangaaa ni njeee ya mamlaka yake ya kaziii.... labda kafanya kwa niaba ya waziri wa fedha na mipango
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Jaribu kupitia link hii hapa chini utaona ni kwa nini Waziri anapata ujasiri wa kuzungumza hayo:

TWB | About TWB
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Uwe unaskiliza taarifa ya Habari vizur usikurupuke ka mwakilisha Makamu wa Rais ndo maana kaenda hapo
 
Hajakosea majukumu lakini ishu ya Riba ni very sensitive, hasa ukiangalia risky wanazoingia katka kukopesha.. sio kila kitu ni siasa... ukweli ni kwamba watanzania wengi tunaokopa bank tukipata mwanya hatulipi.....bado kuna issue ya ROI.... Loan ni product moja lakini vile vile ni muhimu kupata faida..... kwamba serikali ina hisa TWB...so what? hao share holders wengine wanataka hasara? Serikali si ikopeshe hela bure sasa....???? Siasa zetu za hovyo sana
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
Mawaziri wa Magufuli wameanza kuwa vutuko. Ummy Mwalimu amesoma sheria na elimu ya dini, mambo ya Uchumi wapi na wapi? Regulator wa mabenki ni BOT kwa hiyo si angewasiliana kwanza na waziri mwenzake wa Fedha? Ishu za kitaalamu anaingiza siasa? Huko tunakoelekea kuna siku Waziri atauliza kwa nini watu wanajaza vyoo....!
 
Hajakosea majukumu lakini ishu ya Riba ni very sensitive, hasa ukiangalia risky wanazoingia katka kukopesha.. sio kila kitu ni siasa... ukweli ni kwamba watanzania wengi tunaokopa bank tukipata mwanya hatulipi.....bado kuna issue ya ROI.... Loan ni product moja lakini vile vile ni muhimu kupata faida..... kwamba serikali ina hisa TWB...so what? hao share holders wengine wanataka hasara? Serikali si ikopeshe hela bure sasa....???? Siasa zetu za hovyo sana
Huyu Ummy mwalimu aende google a some how banks create money...na atazame ishu ya Monetary Policy na a review policies za Operations za Commercial banks. Asituletee upuuzi wake was kukariri subsections na Ibara..
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?

Mkuu kuna jinsia katika title yake. Yeye ni Waziri wa Afya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
 
Mh Waziri wa Afya katika maadhimisho ya siku ya wanawake.. anampa siku tatu Mkurugenzi wa Benk ya Wanawake ampelekee maelezo kwa nini wanatoza riba kubwa.. Swali Mkurugenzi wa Benki ya wanawake yupo chini ya wazira ya Afya au Ya Fedha?
..serikali hii ni kama familia ya kambale vile kuanzia baba mama hadi watoto wote wana sharubu
 
Usiwe kilaza wewe. Hugo Waziri ataishia kwenye kuteua board members tu. Technical operations zinafanywa in accordance with National Finance laws. Regulator in BOT
Asante KWA kuniita kilaza. Kumbe mtu kuelimisha anakuwa kilaza? Ubarikiwe nami ngoja nilale Na ukilaza wangu
 
Mawaziri was Magufuli wameanza kuwa vutuko. Ummy Mwalimu amesoma sheria na elimu ya dini, mambo ya Uchumi wapi na wapi? Regulator was mabenki in BOT so angewasiliana kwanza na waziri mwenzake was Fedha? Ishu za kitaalamu anaingiza siasa? Huko tunakoelekea kuna siku Waziri atauliza kwa mini watu wanajaza vyoo....!
ni kweli angefaaa aulize BOT kwanza any way ni siasa Tuuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom