Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,390
- 5,310
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema inasikitisha kuona bado kuna Wakurugenzi na watumishi wa umma wakiendelea kufanya kazi kwa mazoea.
Ummy ametolea mfano wakurugenzi wa Kilindi, Uvinza na Same kuwa hawafai na angetamani aitishe mkutano wa haradhara kisha awaite mbele ili wazomewe na wananchi.
Ummy ametolea mfano wakurugenzi wa Kilindi, Uvinza na Same kuwa hawafai na angetamani aitishe mkutano wa haradhara kisha awaite mbele ili wazomewe na wananchi.
Waziri Ummy alia na wakurugenzi
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema wakurugenzi na watumishi wazembe vichwa vyao ni halali yake.
www.mwananchi.co.tz