Waziri Ummy Mwalimu, hizi hesabu ulisomea wapi?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Jamani kati yangu na Waziri Ummy Mwalimu mmoja lazima hesabu alipata mswaki F.

Nanukuuu

Kwa mijibu wa WHO kila watu 1000 vinahitajika vitanda 5.

Akaja akasema

Dar es salaam ina wakazi mil 6, Je inahitaji vitanda vingapi?

Jibu lake yeye Waziri anasema ni Dar es salaam inahitaji vitanda mil 30 yaani amechukua mil6 mara 5.

Binafsi Ummy Mwalimu nampa nampa F ya hii hesabu.

Labda wakali wa math mseme jibu lake lipo sawa.
20200620_163220.jpeg
 
View attachment 1484285
Anazidi kunona tu kila siku Dada yangu oorg ni Shemeji sio Dada!
 
Jamani kati yangu na Waziri Ummy Mwalimu mmoja lazima hesabu alipata mswaki F.

Nanukuuu

Kwa mijibu wa WHO kila watu 1000 vinahitajika vitanda 5.

Akaja akasema

Dar es salaam ina wakazi mil 6, Je inahitaji vitanda vingapi?

Jibu lake yeye Waziri anasema ni Dar es salaam inahitaji vitanda mil 30 yaani amechukua mil6 mara 5.

Binafsi Ummy Mwalimu nampa nampa F ya hii hesabu.

Labda wakali wa math mseme jibu lake lipo sawa.
View attachment 1484285
Mwanasheria huyo, msamehe bure😀
 
Pia alisema vitanda tulivyo navyo hatoshi badala ya havitoshi?

Kwa nini usiseme kosa ni la muandishi wa hiyo taarifa na sio Dada Ummy? Kwani Ummy alitoa hiyo taarifa kwa mdomo au maandishi?

Uko na audio yake hapo tusikie alichosema?
 
Wewe ndiyo unajua hesabu sana waziri anasubiri
 
Jamani kati yangu na Waziri Ummy Mwalimu mmoja lazima hesabu alipata mswaki F.

Nanukuuu

Kwa mijibu wa WHO kila watu 1000 vinahitajika vitanda 5.

Akaja akasema

Dar es salaam ina wakazi mil 6, Je inahitaji vitanda vingapi?

Jibu lake yeye Waziri anasema ni Dar es salaam inahitaji vitanda mil 30 yaani amechukua mil6 mara 5.

Binafsi Ummy Mwalimu nampa nampa F ya hii hesabu.

Labda wakali wa math mseme jibu lake lipo sawa.
View attachment 1484285

Ni ujima kumpa mwanasheria aongoze wizara ya afya ni aibu sana sana, Rais katudharau sana sana kwa baadhi ya Mambo, halafu pia MD anaongoza wizara ya mali asili na utalii. Mtanisamehe wanna ccm, Kuna wakati gauge ya mahaba inashuka kisa matendo.
 
Pakawa school mate anaunyemelea u First Lady kule Zanzibar.
Good to know!
Acha tuone hii sarakasi wapi itaishia!
Umewahi kuona box tupu likipeperushwa na upepo?!
Kelele nyingiiiiii huwa linaishia kwenye mtaro wa maji machafu
Weekend njema mate!
 
Pia alisema vitanda tulivyo navyo hatoshi badala ya havitoshi?

Kwa nini usiseme kosa ni la muandishi wa hiyo taarifa na sio Dada Ummy? Kwani Ummy alitoa hiyo taarifa kwa mdomo au maandishi?

Uko na audio yake hapo tusikie alichosema?
Yeah, it is a possibility. Inawezekana Mwandishi aliandika elfu thelathini lakini kwa sababu kaweka namba si maneno, mchapaji kaongeza sifuri tatu kwa kukosea.
 
Jibu lake halipo kwenye makosa ya kuandika mil 30,000,000.
Yeah, it is a possibility. Inawezekana Mwandishi aliandika elfu thelathini lakini kwa sababu kaweka namba si maneno, mchapaji kaongeza sifuri tatu kwa kukosea.
 
Jibu lake halipo kwemye.kukosea kuandika mil.30,000,000

Back
Top Bottom