safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,182
- 15,866
Ndugu zetu wanashindwa kututembelea likizo kwa sababu ya upuuzi wa kusoma likizo shuleni.Pre form one na pre form five zina tatizo gani?
Kwanza sio lazima ni maamuzi ya mzazi ampeleke mtoto wake au asimpeleke.
Alichokataa waziri ni ile tabia inayoota mizizi siku hizi shule zikifungwa mwezi wa 6 au 12 kuna baadhi ya shule za serikali na private wanawazuia wanafunzi wasipumzike inakuwa ni lazima kwenda shule kwa kigezo cha masomo ya ziada tena wazazi wanashurutishwa kuchangia pesa za hiyo program.
Hiko nafkiri ndo alichokikataza waziri.
Ni upuuzi kuwapeleka watoto shule likizo kama siku za kawaida.