supermario
Member
- Dec 2, 2011
- 48
- 15
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!
Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.
Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!

Unachukua hatua gani?Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!
Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.
Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!
Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.
Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100.
Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu achana na buffet na vinywaji!
Jamani huyu waziri ni mzalendo kweli wa kuishi hotelini hadi kufikia kiasi hicho cha pesa? Sina hamu jamani sijui wadau mnalipi la kusema.
Source ni The Guardian on Sunday habari na Floriani Kaijage!
kwa wenyeji wa dar mtusaidie kujua nyumba ya 4m per month ina ubora kiasi gani?ivi hakukuwa na uwezekano wa kumpangishia nyumba ya tsh 48M kwa mwaka kwa rate ya 4m/month?
Aulizwe Mkapa na Magufuli.. Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi..
Naamini wengine wana bills kubwa zaidi. Nenda hata Courtyard hotel..
kabla ya kuwa waziri alikuwa anaishi wapi? na kwanini aliamia hotelini?Sasa afanyeje wakati nyumba zao ziliuzwaga zamani ndio maana mdau wa juu hapo alisema mkapa na magufuli ndio wanajua majibu ya hii drama