Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

Kama mnadhan kavunja sheria nendeni mkamshtaki,ukweli ni kwamba ni stahili ake kuishi pale tatizo naloliona hapo ni kwann serikali iliuza nyumba zake na kwann haijawa na mkakati wa kujenga za kutosha.
 
Hesabu yetu watatupea hapa hapa muda ukifika, SIi mbali tena.
 
Mwakyembe si ndo waziri aliyetangaza kudhibiti matumizi mabaya kwenye wizara yake
 
naomba kufahamu, yani anavyokaa humu, pia familia yake inaishi humo? Au hiyo 100m ni yeye tu na washikaji wenzake?
 
....."Sasa Tizeba na wadhifa wake angekaa wapi?"

Mkuu, kabla ya kupata wadhifa huo alikuwa anakaa wapi? Akae alikokuwa anakaa kabla hajapata wadhifa huo. Hata sisi wengine tuna nyadhifa zetu na tunakaa kwetu. Tubadilike na kuitendea nchi kitu badala ya nchi kututendea sisi kitu!
 
njaa mbaya kweli kabla hajawa waziri alikua anaishi ubungo kwenye nyumba yake, inamaana nyumba yake aliyoijenga mwenyewe naamini haikua na hadhi ya yeye kuishi kisa kapata uwaziri ?
siku zote haya ndo huwa mawazo yangu, kwanini? anachaguliwa au kuteuliwa kiongozi ambaye anakuwa mzigo kwa taifa? kwani hata yy mwenyewe kajishindwa kutokuwa na nyumba ya kuishi. na kama alikuwa na nyumba ya kuishi kwanini? ahame, igeni mfano wa jaji mstaafu AUGUSTINO RAMADHAN hakuhama nyumba yake na bado fedha zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba yake hiyo, alizikataa na kuelakeza zikajenge jengo la mahakama lkn mtu haya HASIFIWI kumpa madaraka mtu ambaye hana nyumba au anahama baada ya uteuzi ni sifa ya kukosa UADILIFU.
 
Haya ndiyo maisha Bora kwa kila mtanzania.

Nyumba za kupanga ziko nyingi uswahilini tena maeneo yenye hadhi ya Waziri na gharama zake zingekuwa chini ya hapo.

Jaribu ku- image (Us dolar 250x30days= 7500 usdolar=tzs 12,000,000/= rate 1usdolar -1600tzs)

Kwa gharama kama hizi tunapata nini kwa waziri au anazalisha kiasi gani mpaka tufike mahali tuwetualipia malazi yake wakati kwenye mshahara chochote zaidi ya 170,000ts kinakatwa 14%.Kweli haya mambo hayawezi kumwingia akilini mtu anyefikiri sawa sawa nje ya hapo Mlafi tu na Fisadi mkubwa ndiye anayeweza kusadiki na kufanya uamuzi kama huu wa kumweka waziri kwenye hoteli.

Tatizo lingine tunawawakilishia (Wabunge ambao wengi wao kikikubwa wachoangalia ni Matumbo yao.

Minister finally leaves hotel

By Florian Kaijage

27th January 2013



The deputy minister who spent more than eight months in a Dar es Salaam hotel and occasioned more than Sh100 million in bills has finally moved to a residential house.
The Guardian on Sunday has reliably established that the Deputy Minister for Transport, Dr. Charles Tizeba, has moved out of the New Africa hotel -- in less than a week since this paper reported his lengthy stay and the staggering accumulated bills which must be settled from public funds.
"He checked out last week … I am told he has moved to a government house in Mikocheni area," one source at the Ministry of Transport said this week.
The Guardian on Sunday has since learnt that the matter was discussed at various formal and informal meetings in the aftermath of our report -- and the main concern was how the details were unveiled to this newspaper.
It is understood that one of those meetings took place in Zanzibar.
The Matter
On January 13, this year this paper reported that the government had forked-out more than Sh100 to house Dr. Charles Tizeba, the Deputy Minister for Transport, at the four-star New Africa Hotel since his appointment to the post on May 4, 2012 –following a cabinet reshuffle against the backdrop of mounting public accusations of inefficiency and misuse of public funds in a number of ministries.
This paper has established that the hotel bills continued accumulating whether Dr Tizeba was in Dar es Salaam or elsewhere on business or private missions.
New Africa Hotel room charges fall under three categories: Standard rooms that go for $160 a night; Club rooms pegged at $180 and Suites at $300 per night. The Guardian on Sunday had reliably learnt that Dr. Tizeba stayed in a suite ($300), but pays a discounted $250 a night after government officials asked for a reduction and successful negotiated against the normal price.
As of January 12, Tizeba had lived at the hotel for at least 247 days, bringing the total bill to $61,750 (Sh98.8 million)
However, the bill is specifically for bed and breakfastonly, which implies that the total bill could be bigger when other charges, such as meals, are tallied. A single buffet meal at New Africa Hotel costs at least Sh 21,000 per person. But since he is a family man, addition bills may pop up; two of his children recently paid him a visit for more than a week – for whom he doled out a discounted $150 a night.
When reached then Dr Tizeba, the legislator for Buchosa, advised this reporter to contact the authorities responsible for allocating residential houses to ministers and other public leaders.
"I can not allocate a house to myself … there are authorities responsible for that, so please talk to them and get an official statement," he retorted. However, sources privy to the Ministry of Transport told this paper that the Prime Minister's Office was footing all the hotel bills.
But PMO Permanent Secretary Paniel Lyimo declined
 
Hii haikubaliki, inakuwaje waziri aishi hotelini na kutumia kiasi kikubwa cha pesa za walipa kodi? kwani utaratibu wa kupatiwa nyumba ya kupanga ulipaswa kufanywa na nani jamani ?
 
Mkuu Mwakwembe hili yeye hana nafasi hata ya kutoa ushauri au alikuwa hajui,naona yeye kakomaa bandarini tu kumbe ofisini kwake pia kuna madudu!..
 
Yule Mzanzibari alishahama hapo au bado yupo ?

Yule Mzanzibari alishaondoka baada ya kupigiwa kelele sana, yeye alitaka nyumba yenye hadhi ya PM kwasababu eti huko kwao alishawahi kuwa PM (Waziri Kiongozi).

BTW, hivi SMZ itachangia kiasi gani kwenye deni hili 100M?, maana hii wizara ni ya Muungano.
 
Ni ulimbukeni tu, kwani kabla hajawa Waziri alikuwa anaishi wapi akiwa Dar?

Uongozi hapa kwetu ni kuchuma na sio kuwatumikia wananchi. Mtu akipata cheo, ghafla anaona nyumba yake haifai tena, gari halifai na mengine mengi.

Waliouza nyumba za Serikali nao pia hawawezi kukwepa lawama hii. Hope zitarudishwa huko mbele ya safari, zote.
 
kama ameondoka mwenyewe bila kufukuzwa basi ni mzalendo!serikali ndio walimuweka akae hapo because nyumba za viongozi wa serikali waliuziana!!waziri mzima hawezi kwenda kulala sinza!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom