...ametumia nafasi yake kama msemaji mkuu wa serikali bungeni..(pinda yuko korea).na pia kama mbunge mzee zaidi bungeni..amemsifia JK(Nyerere) kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kutuletea uhuru..amani..muungano na hata kutaka muungano wa africa mashariki..! siyo kama uamuzi mgumu wa siku hizi wa 10% na mikataba ya kitoto na mibovu..!(kumbuka Mh Lowassa ndiye aliyelianzisha la uamuzi mgumu..na pia ndiye aliyeachia ngazi kwa mkataba mbovu na wakitoto)... siasa bana..ukipata nafasi itumie maana hujui mwenzio atakuja na lipi.!
nimemuona mkuu kweli lakuvunda halina ubani.Maskini lowasa wenzie hataafanyaje ndo basi tena! Kikwete amesha mtumia kama pedi haitajiki tena.Ajiachie siasa.
<br><br><span style="color: rgb(0, 0, 255);"><span style="font-family: century gothic;"><font size="4">Siasa kama mpira unatumia kosa la mwenzio una wini,ndicho kinachofanya ccm wanaweweseka mda wooote na kutumia media na propaganda nyingi.....sa hata ndani ya chama wapo wanaoshindana kwa kuangalia nani kafanya kosa na wanakosoana kwa kutafuta credit
Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
...ametumia nafasi yake kama msemaji mkuu wa serikali bungeni..(pinda yuko korea).na pia kama mbunge mzee zaidi bungeni..amemsifia JK(Nyerere) kwa kuchukua uamuzi mgumu wa kutuletea uhuru..amani..muungano na hata kutaka muungano wa africa mashariki..! siyo kama uamuzi mgumu wa siku hizi wa 10% na mikataba ya kitoto na mibovu..!(kumbuka Mh Lowassa ndiye aliyelianzisha la uamuzi mgumu..na pia ndiye aliyeachia ngazi kwa mkataba mbovu na wakitoto)... siasa bana..ukipata nafasi itumie maana hujui mwenzio atakuja na lipi.!
jaman huyu mzee noma.nakumbuka hapa mzumbe alipokuja kwenye kongamano,alikua anatema vitu vya uhakika.ivi JK mkimwambie akaongee na wasomi vyooni ataweza.sema basi vile nchi yetu haitaki watuwenyeuelewa mpana.
hili saga mweisho wake ni 2015 kunye kura za maoni ya kupendekeza jina la urai kupitia ccm, lowasa Vs sita bado wapo wakina mwandosya sumaye mwinyi mdogo na membe kazi ipo
Mkuu huyo waziri ndiye anayemshikia pinda siyo Sixhivi ile wiki yake ya kuwa kiongozi wa shuguli za serekali bungeni iliisha? au ndo anamalizia kiaina?
sita noma. nilijua tu lazima ataacha headlines na sijui kama atapewa tena hiyo nafasi, lakini meseji senti
Nimeipenda!Ameongezea muungano ukishindikana uvunjwe,amekataa kabisa uundwaji wa serikali tatu ya muungano