Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,362
Nyie mnaamini katiba mpya itawatoa madarakani poor CCMYuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Nyie mnaamini katiba mpya itawatoa madarakani poor CCMYuko sahihi kabisa,chadema wanaamini katiba mpya itawaweka madarakani,poor chadema!!!
Mkuu hata Mimi najiuliza,na Kama katiba mpya haipigi kura kwanini chadema waikomalie Sana!!?Katiba ndio inayopiga kura?.Utetezi wakijinga kabisa huu.
WAJAMENI, Hivi njia nyepesi ndio ipi ?Shida ya Watanzania siyo Katiba mpya ila shida ni ya wanaotaka madaraka kwa njia nyepesi ndiyo shida yao wanaona ni Katiba, watu wachache ndiyo wanashida na Katiba kwa malengo na ubinafsi wao.
Katiba mpya ndio tiba.Mkuu hata Mimi najiuliza,na Kama katiba mpya haipigi kura kwanini chadema waikomalie Sana!!?
Utapeli endelevu wa CCM na vyombo vyake. Kama Kila Siku wanadai Tanzania ni nchi ya amani na kwamba CCM imeleta maendeleo..... The what is next."Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi.
Shida ya Watanzania siyo Katiba mpya ila shida ni ya wanaotaka madaraka kwa njia nyepesi ndiyo shida yao wanaona ni Katiba, watu wachache ndiyo wanashida na Katiba kwa malengo na ubinafsi wao.
Mwanasiasa ni sawa tu na machinga na matapeli wa viwanja! Ukiwapa muda watakurubuni hadi uingie kingi! Be smart! Always don't follow the masses because "m" tends to be very silent or nonexistent!Yaani ukitumia muda wako vizuri kuwasikiza kwa makini wanasiasa, unaweza ukahisi sio wanadamu hivi, yaani ni viumbe waliotoka huko anga za mbali na wameletwa duniani kuwapa adhabu wanadamu...
Mie simo kwenye hilo kundi, nataka katiba mpya"Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi.
Na kwenye mikutano yote ya ccm mbele kabisa hukaa makundi yasiyojielewa vizee watoto wadogo wakinamama zetu maskini na mataahira yaliyovaa ndala machache au ma wanakijiji yanayopekuwa miguu imeliwa na funza wajanja wanaojitambua hukaa nyuma kabisa au pembeni hivyo Basi kundi la less privileged ndio wapendwa wa ccm."Unakuta mtu anasema Katiba ya Tanzania mbaya kwa kipengele kimoja tu cha tume ya uchaguzi, baasi, lakini Katiba hii ndiyo inayopelekea Watanzania wanamiliki rasilimali na maliasili kwa umoja bila ya kuwa na ugomvi.
Shida ya Watanzania siyo Katiba mpya ila shida ni ya wanaotaka madaraka kwa njia nyepesi ndiyo shida yao wanaona ni Katiba, watu wachache ndiyo wanashida na Katiba kwa malengo na ubinafsi wao.