mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,049
- 4,904
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi.
"Shida ya katiba ni ya watu wachache kwa malengo, kwa ubinafsi wao lakini Tanzania hakuna shida ya katiba, kwa maana katiba hii iliyopo ni nzuri na imetupitisha katika vipindi muhimu na vigumu ambapo ingesababisha nchi iweze kuvunjika"