mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,851
yaani nilisha msahau mda sana sana huwezi amini huwa sikumbukagi mabayaMtaacha lini kumtaja Magufuli? Anawatesa sana mioyoni, siyo.
yaani nilisha msahau mda sana sana huwezi amini huwa sikumbukagi mabayaMtaacha lini kumtaja Magufuli? Anawatesa sana mioyoni, siyo.
Ungekuwa unemsahau usingekuwa unaweweseka naye humu.yaani nilisha msahau mda sana sana huwezi amini huwa sikumbukagi mabaya
Nimejikuta napandisha Mori kwenye Keybod, hawa Majangili wamerudishwa kweli??? Tanzania hatuna chetu, Tena kwenye hii Miaka 4. Mungu epushia mbaliKuna watu wanashabikia huu upumbavu unaorejeshwa kwa kasi kwa sababu tu ya chuki zao kwa hayati Magufuli. No wonder wazungu hutubagua na kutuita nyani. Maana hata nyani wenyewe hawawezi kufurahia huu wendawazimu.
sija wahi na haita tokea! never and ever in my life time! note hiloUngekuwa unemsahau usingekuwa unaweweseka naye humu.
Inachekesha sn,Mkuu hawa watu hadi wakigongewa wake zao nasikia wanapiga kimya tu wanasema sababu ya mwenda zake