Nimesoma advance Rombo,,usiku nilikuwa nakula ngoma za majuu kutoka Capital radio ya Kenya,,mchana naibia kumsikiliza Willy M Tuva Citizen Radio kwa high definition kabisa,,basi hapo ni mimi na muziki + physics tu..Na-feel unachokizungumza hapaNi kweli unachosema. Kwa mfano hapa mpakani ,redio za Kenya zipo strong sana mfano redio citizen,kbc taifa, milele fm,kbc english service n.k. hata mtandao kama safaricom wa Kenya huwa una meza sana Vodacom au tigo huku mpakani.. tulio huku wilaya ya rombo tunaelewa hii adha tuipatayo.
December nilikuwa huko Clouds nao wanafika..nikiwa Mamsera napata mbege pale nilikuwa nawapata clear kabisaRombo radio ya Tanzania inayoshika
Clear n Radio Maria Tanzania pekeake,
Na hii n kwasababu waliweka mnara wao
Pale user kwenye kanisa Catholic
Hadi nimekariri watangazaji wao yaaniSasa hivi ata nikiwa area tofauti nasikiliza radio za kenya online maana ndizo nimezoea tokea mdogo
Kuna kauli ilikuja kichwani nilitaka kusema "moderators wenyewe chawa tu, wanafikishaje huko" ila nikasita, si kauli nzuri kabisa. Kibinadamu sio freshModerators naomba hii kero muifikishe kwa waziri Ndugulile
Nisoma kwa rafudhi ya KikuryaHivi kwa nini Tanzania tunafeli sana hata kwa vitu vidogo? Waziri wa habari, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia anajua kuwa asilimia 90 ya Watanzania wanaoishi pembezoni mwa Tanzania(mpakani) wanasikiliza redio za nchi jirani?
Kwa mfano sisi tunaoishi mpakani na Kenya redio stations za Kenya zipo strong kuliko redio za Tanzania, kwa kifupi Watanzania wanaoishi mpakani na Kenya wanaotumia redio kupata habari wanapata habari za Kenya kuliko za Tanzania.
Redio stations za Tanzania hazipatikani kabisa, Redio iliyokuwa inajaribu ni Radio Free Afrika, lakini ina wiki tangu itoweke hewani,lakini redio zingine zilizobaki za Tanzania ndo hamna kabisa.
Waziri husika miaka 60 ya uhuru na dunia ya sayansi na teknolojia ni mshangao kuwa asilimia 99 za redio za Tanzania zinaishia magomeni ni aibu kubwa.
Siyo redio tu hata simu, mitandao ya nchi jirani inakuwa na nguvu kuliko ya Tanzania, yaani mtandao wa Kenya kuingia kwenye simu yako ni kugusa na ukumbuke upo mita 500 ya mnara wa Tanzania, lakini mnara wa Kenya upo zaidi ya km 50 lakini unavamia wa Tanzania unaingia kwenye simu yako na unakaribishwa na SMS welcome in Kenya na upo Tanzania.
Waziri Ndugulile hili swala linakera na kuudhi na ni aibu kubwa kwa nchi yetu.
Hili ni tatizo mkuu,kama hapo RFA imeisha potea wiki 2 ,kila nikitafuta station ya kusikiliza ni za Kenya ,bila mitandao ya kijamii huwezi ukajua kinachoendelea TanzaniaMtoa mada umezungumza ukweli sana, nilipo radio za Kenya ndio zenyewe sasa mwaka juzi nikasafiri kwenda Mbeya nikawa pale tukuyu kwa muda aisee kila nikibadili station nyingi napata za Malawi mwanzoni nilidhani ni redio ya kilugha ila nikawa naambiwa ni za Malawi. Radio zaa Tanzania zinazovuka boda ama hata kufika mipakani ni Radio Free Africa tu ila ttzo lake naona hawana stable management umeme ukikatika nayoinakatika na mara nyingine kupotea hewani siku nyingi bila kujua sbb za msingi. Watz tubadilike tupo nyuma sana na smtm huwa tunadanganyana sana.
Bado wanjenga ocean road ya pili inayopita bahariniHivi kwa nini Tanzania tunafeli sana hata kwa vitu vidogo? Waziri wa habari, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia anajua kuwa asilimia 90 ya Watanzania wanaoishi pembezoni mwa Tanzania(mpakani) wanasikiliza redio za nchi jirani?
Kwa mfano sisi tunaoishi mpakani na Kenya redio stations za Kenya zipo strong kuliko redio za Tanzania, kwa kifupi Watanzania wanaoishi mpakani na Kenya wanaotumia redio kupata habari wanapata habari za Kenya kuliko za Tanzania.
Redio stations za Tanzania hazipatikani kabisa, Redio iliyokuwa inajaribu ni Radio Free Afrika, lakini ina wiki tangu itoweke hewani,lakini redio zingine zilizobaki za Tanzania ndo hamna kabisa.
Waziri husika miaka 60 ya uhuru na dunia ya sayansi na teknolojia ni mshangao kuwa asilimia 99 za redio za Tanzania zinaishia magomeni ni aibu kubwa.
Siyo redio tu hata simu, mitandao ya nchi jirani inakuwa na nguvu kuliko ya Tanzania, yaani mtandao wa Kenya kuingia kwenye simu yako ni kugusa na ukumbuke upo mita 500 ya mnara wa Tanzania, lakini mnara wa Kenya upo zaidi ya km 50 lakini unavamia wa Tanzania unaingia kwenye simu yako na unakaribishwa na SMS welcome in Kenya na upo Tanzania.
Waziri Ndugulile hili swala linakera na kuudhi na ni aibu kubwa kwa nchi yetu.
Kabsa clouds wanajitahid Ila ukivukaDecember nilikuwa huko Clouds nao wanafika..nikiwa Mamsera napata mbege pale nilikuwa nawapata clear kabisa
Waziri anadeal na bando tu.Sasa mkuu waziri mwenyewe Kasomea kutibu kaswende huku kwenye technology hakumfai kabisa na amefel pakubwa mno.
Tarakea hapa mbomai yaaniKama nakuona vile hapo tarakea ukinywa zako
Mbege