Waziri Ndalichako nakukubali ila...

Waziri Ndalichako nakukubali ila...

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Posts
27,962
Reaction score
35,215
Waziri Dr. Ndalichako nakukubali. Yote unayofanya ni kwa manufaa ya Taifa letu.

Naomba uangalie na hili suala: Vyuo vikuu vingi hapa Tanzania unakuta mwanafunzi wa Masters wakati wa research yake anapangiwa major supervisor mwenye masters badala ya Dr.
Naomba kama inawezekana hili liwekewe mwongozo.

Naomba wapambe wake mnifikishie huu ujumbe
 
Huo uchochezi, kwa nn usimkatae? Taja chuo na kozi uliyofanya tufuatilie
Sasa utamkataa vipi na hali mnapingiwa na dean wa kitivo?! Ila mie huwa nakereka sana basi tu sina namna zaidi kulialia hapa JF
 
ahahaaa mi wasukuma siwataki
hahahaahaaaah, hata Joseph Philipo Moses (tafsida hiyo sina million saba mie) akikutaka uwe mke wa pili utamkataa kwa kuwa ni msukuma? hahahahahahahahahaahahahahahah
 
hahahaahaaaah, hata Joseph Philipo Moses (tafsida hiyo sina million saba mie) akikutaka uwe mke wa pili utamkataa kwa kuwa ni msukuma? hahahahahahahahahaahahahahahah
ahahaaaa ndio naona ukilala ukiamka unamuwaza tu dk yaani jamani muache mtoto wa watu eti
 
Sii kakutangulia kuchukua hiyo master ana uzoefu kuliko wewe hata secondari na vyuoni waliotangulia huwafandisha walionyuma yao na ukumbuke wanaobakizwa vyuoni kufundisha huwa na GPA nzuri
 
Back
Top Bottom