Waziri Nchimbi umetia aibu

Kwa nini wasimuulize Tenga? Mi naona mtu sahihi wa kujibu hilo ni Tenga viongozi wenzake ndio wanaotakiwa kuhakikisha nyavu za uwanja zinakuwa bora kabla ya mwashindano na pia uwepo wa standby generators, N aje kwa nini siku Ynga wakicheza ndio matatizo hutokea nyavu na umeme, Mi nahisi mbadala wa sheikh yahaya anatisha.:tonguez:
 
yaliyotokea jana uwanja wa Taifa umeme kukatika ni jambo la aibu kwa nchi yetu Tanzania. Nilikuwa naangalia mpira kupitia Super Sport
walichofanya ili kufinya aibu ni kuweka matangazo ya biashara.
nilijaribu kufuatilia kupitia Star Tv, nilichokiona ni aibu sana. Ambulance ya kubebea wagonjwa ndio ilitumika kumulika eneo la
kukabidhiwa zawadi na kombe.
Waziri wa michezo alionekana akipiga simu nahisi zilikuwa za kuomba umeme urudishwe bila mafanikio.

Hii ni aibu kwa nchi yetu Tanzania.

supersport wangeonyesha pia jinsi hilo gari lilivyokuwa likitoa huduma ya kwanza ya umeme.....aibu hii ingesaidia JK kupunguza ushalubaru akienda nje!!
 
kweli mkuu siyo kazi ya waziri,lakini ktk tukio kama hili anapaswa kuwajibika sababu ameshindwa kusimamia walioko chini yake. baada ya hapo hatua za kinidhamu kwa maofisa wa chini zitafuata.
 
Umeme ulikuwa umekatwa kulingana na ratiba iliyokuwepo
Saa za jioni mitaa mingi tz umeme hukatwa
Aliyemtua waziri angepigiwa simu angesema hawezi kugeuka mawingu ili maji yongezeke kwenye mabawa ya kuzalisha umeme
 
Pale uwanjani palikuwa na watu wa nchi mbalimbali za nje kitendo cha TANESCO kuruhusu umeme ukatike ni aibu kubwa kwa Watanzania. Last time pale nyimbo za Taifa zilipogoma kupigwa kwa kutumia CD Mwakalebela aliwajibishwa, safari hii tunataka mawaziri nao wawajibishwe nao ni (1) Nchimbi - Waziri mwenye dhamana ya michezo alitakiwa ahakikishe uwanja una huduma zote bila kuwa na ubabaishaji (2) Ngeleja - Kwa kushindwa kusimamia shirika la TANESCO akiwa waziri mwenye dhamana ya nishati na madini.

Mwisho CEO wa TANESCO naye awajibishwe kwa kushindwa kusimamia shirika lake vilivyo.

Hawa wakiwajibika bila shaka siku zijazo kila mmoja atafanya majukumu yake ipasavyo.
 
aibu hii katika uwanja wa taifa itaisha lini? mara cd ya nyimbo za taifa zigome kuimba na jana tena umeme umekatika wakati yanga wanajiandaa kukabidhiwa kombe. ina maana uwanja huu wa kisasa hauna stand by genereta?..........
Mkuu, hapa pana shida kdg ktk hili cd ilipogoma akina mwakalebela -TFF walichagizwa, sasa umeme nani cecafa au castle bia???? Lkn unakumbuka yaliyompata jamaa iringa?? Umaarufu mwingine aahhh!!!! aliogopwa atakuwa tishio ktk nafasi ya nchimbi holder of phd -(pombe haina deni) a.k.a poor haired distribution !!!!!! sasa kumbe meneja uwanja simba nao wamefungwa nn katatokea????? urais 2015 hadi mabazazi wanawaza kuingia ikulu kwani shngapi????hIYO NDIO jks boys nnn.
UKISTAAJABU TA MUSA......................???????????????
 
Its realy shame to our nation power c ut off at a gathering of 60 thousands people what if accident did occur yesterday shame to all leaders from ministers to Tff
 
Ule uwanja ni mzuri kuliko hata waziri mwenyele, uko juu. Yeye na wlio chini yaka hawawezi kuona mappungufu. kuwekana kazini kwa undugunisation, hakuna professionalisim. Hapa wala sio suala la Tanesco. kiwanja kama kile kukosa jenerator inatosha kuonyesha upeo wa uongozi wa kiwanja.
 
Wewe unategemea maajabu ya Musa kwa viongozi tanzania yaani wote ni uonzo mtupu kuanzia rais mpaka ngazi za chini. Iwapo huo uwanja ambao tulijengewa na mchina ambao ni mmoja tu sasa ikuwa viwanja vitano administration ya huo mmoja unatutoa majosho. Ok ukiachilia mbali dogo nchimbi sasa TFF kazi yao nini? na Kwanini TFF wanajua fika tanesco yetu ni kimeo kwanini hawa imejensi generator au mpaka mchina anunue tena kutoka china, Naona Tenda na Nchimba wajiuzulu watakuwa wazalendo mno kupita maelezo.
 
Afadhali alionja adha ya mgao, maana hawa jamaa hata hawajui mgao ni nini, wanasoma tu kwenye magazeti. Natamani mkulu mwenyewe angekuwepo pale.

Halafu hawa supersport, si wangeacha? Wanamstahi nani wakati wao hawahitaji hiyo staha?
 
Uzuri ni kwamba mawaziri wetu wanataka wakipigiwa simu ziwe ni za kuwapongeza binafsi, ukihoji uwajibikaji wao kosa, unawachafua kana kwamba ni wasafi sana
 
Semina elejez haijafanya kazi,si waliambiwa washirikiane na media??????????
Leo asubuhi hii (Morning Magic-MagicFM) waziri wa michezo Nchimbi kapigiwa simu, kaulizwa inakuwaje juzi uwanjani neti(nyavu) ilikatika ikabidi ifungwe katani(ilichukua zaidi ya dk 5 kufunga katani) na fainali yake jana umeme umekatika, tunaomba maelezo yako!! Aaagh Jamaa akakata simu!!Hii aibu sijui nani atai-handle!!
 
Kila Wizara haiko makini na yanayofanyika chini yake, wanaona kama hayawahusu! Tulikuwa tunatia aibu ndani ya nchi lakini sasa tunaionyesha dunia ni jinsi gani serikali yetu ilivyo ya hovyo.

Kama ingekuwa kombe limechukuliwa na nchi nyingine tungesema ilikuwa ni njama!

Waziri hakuwakatia simu watangazaji simu iliisha charge na jana yake hakuweza kuicharge kwakuwa hapakuwa na umeme na simu yake ni ya mchina inakaa na charge siku moja.
 
Pale uwanjani palikuwa na watu wa nchi mbalimbali za nje kitendo cha TANESCO kuruhusu umeme ukatike ni aibu kubwa kwa Watanzania. Last time pale nyimbo za Taifa zilipogoma kupigwa kwa kutumia CD Mwakalebela aliwajibishwa, safari hii tunataka mawaziri nao wawajibishwe nao ni (1) Nchimbi - Waziri mwenye dhamana ya michezo alitakiwa ahakikishe uwanja una huduma zote bila kuwa na ubabaishaji (2) Ngeleja - Kwa kushindwa kusimamia shirika la TANESCO akiwa waziri mwenye dhamana ya nishati na madini.

Mwisho CEO wa TANESCO naye awajibishwe kwa kushindwa kusimamia shirika lake vilivyo.

Hawa wakiwajibika bila shaka siku zijazo kila mmoja atafanya majukumu yake ipasavyo.

Raisi naye awajibishwe kwa kuteua viongozi wazembe
 
Cha kuchekesha..kawau(mtangazaji) mwishoni kasema jamani nisije kufa na kijiba cha roho...huyu Waziri kanikatia simu na sio tatizo la mtandao!! dah noma!!

Walipewa jukumu la kuwakilisha Serikali na kutoa majibu kwa umma,Bosi wake akisikia hili anaweza kulia.Manake Mkuu wa Nchi ameshapiga kelele weeee jmani mtoe majibu.Sikuona sababu ya kumkatia simu Mtangazaji bora angeomba muda wa kutafuta majibu sahihi kwa umma.I hope kwa mtu yoyote yule angeafikiana na ombi hilo ukiziangatia ni swala mtambuka kuwa TANESCO wanahusika pia na yeye kama waziri asiyehusika na upande huo bado haikuwa mzigo sana kwake yeye.

Jamani wakati Mwingine ukijivisha na kuvaa nafasi ya Jakaya Kikwete unaweza changanyikiwa jamani, hata majibu tuu,nae aje hapo.
 
aibu hii katika uwanja wa taifa itaisha lini? mara cd ya nyimbo za taifa zigome kuimba na jana tena umeme umekatika wakati yanga wanajiandaa kukabidhiwa kombe. ina maana uwanja huu wa kisasa hauna stand by genereta?..........
a FAIZA FOXXY ALITANABAISHA HAPA JAMVINI KUWA ILIKUWA HAINA WESE. HELA ZOTE WANAZOKUSANYA WAJAMENI?
 
Pale uwanjani palikuwa na watu wa nchi mbalimbali za nje kitendo cha TANESCO kuruhusu umeme ukatike ni aibu kubwa kwa Watanzania. Last time pale nyimbo za Taifa zilipogoma kupigwa kwa kutumia CD Mwakalebela aliwajibishwa, safari hii tunataka mawaziri nao wawajibishwe nao ni (1) Nchimbi - Waziri mwenye dhamana ya michezo alitakiwa ahakikishe uwanja una huduma zote bila kuwa na ubabaishaji (2) Ngeleja - Kwa kushindwa kusimamia shirika la TANESCO akiwa waziri mwenye dhamana ya nishati na madini.

Mwisho CEO wa TANESCO naye awajibishwe kwa kushindwa kusimamia shirika lake vilivyo.

Hawa wakiwajibika bila shaka siku zijazo kila mmoja atafanya majukumu yake ipasavyo.

kaka naona umekomaa na TANESCO kwa asilimia 50 uko sawa na kwa asilimia zingine 50 ulikuwa uzielekeze kwa wamiliki wa uwanja wa taifa ambao naamini ni TFF. uwanja mkubwa kama ule haupaswi kukaa bila standby generator as a power backup for the stadium. hakika ile ni aibu kubwa sana, na kwa hilo nahisi TFF watajieleza kwa CAF/FIFA. bado najiuliza kama umeme ungekatwa na ndio kwanza mechi imeanza kama dakika 5 halafu ni fainali ivi ingekuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom