Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,534
- 8,619
Kwa nini wasimuulize Tenga? Mi naona mtu sahihi wa kujibu hilo ni Tenga viongozi wenzake ndio wanaotakiwa kuhakikisha nyavu za uwanja zinakuwa bora kabla ya mwashindano na pia uwepo wa standby generators, N aje kwa nini siku Ynga wakicheza ndio matatizo hutokea nyavu na umeme, Mi nahisi mbadala wa sheikh yahaya anatisha.:tonguez:
Nchimbi haswaa anahusika...kwani yeye Uwanja wa Taifa uko chini ya wizara yake ........Meneja mkuu wa uwanja wa taifa [benjamin mkapa national stadium ] yupo kwenye kurugenzi ya wizara ya michezo....hii inampa dhima waziri Nchimbi kisiasa kuwajibika kwa yafuatayo...
1] kwanini uwanja wa taifa viti havikarabatiwi..
2]huduma za usafi ndani ya uwanja wa taifa imekuwa duni..
3]huduma ya biashara ndogo ndogo ..kama maji .pipi, etc imekuwa holela mno wakati uwanja umekuwa deesigned kuwa na hizo huduma kwenye corridors zake ie mini groceries and snack stalls ....sipo na hazitumiwi.
4]ubora wa nyasi unashuka toka wakabidhiwe
5]kwanini uwanja unakosa stand by generator..wakati mapato yanapatikana ya kutisha ..generator ya kutosha kuwasha taa pale haifiki milioni 120.
6]Pesa zinazopatikana pale uwanjani zinatumikaje..
7] tunaomba uwanja wa taifa uendeshwe na kampuuni huru hata kama serikali itakuwa na hisa iuze hisa kwa wananchi na vilabu....
8]au mchakato wa mwendeeshaji uwanja ukamilike ipewe kampuni ya kimataifa....