Waziri Mwijage: Kwa sasa Tanzania ina zaidi ya viwanda 52, 000

Dah kwa viwanda elfu 52 nadhani hata ujerumani nchi iliyoendelea zaidi ulaya kiviwanda haitufikii,
Uwongo mwingine bwana wala huhitaji PhD kung'amua
Tumehesabu kila kiwanda au ulitaka tuhesabu vipi
Kile cha gongo (la mboto) pia tumezihesabu kwanini visifike
 
Huu ni uongo wa wazi kabisa... Mwijage achunge mdomo wake wa kihaya, wahaya ni waongo na wanapenda sana sifa.. achunge sana hilo, hapa anaongea na Taifa, sio wahaya wenzie.. he has to be very careful.. huu ni uongo hadi shetani anashangaa
Mkuu hapo green umenifanya nicheke sana
 
Hamkumuelewa waziri jamani. Alimanisha viwanda vipo 52.00.0 ndio maana mmefikilia elf hizo, yeye ame manisha 52. Nazani tupo pamoja sasa.
 
Huu ni uongo wa wazi kabisa... Mwijage achunge mdomo wake wa kihaya, wahaya ni waongo na wanapenda sana sifa.. achunge sana hilo, hapa anaongea na Taifa, sio wahaya wenzie.. he has to be very careful.. huu ni uongo hadi shetani anashangaa
Tusamehe sisi wahaya wengine
 
Hivyo siyo viwanda mkuu,hizo ni karakana, umeishia darasa la ngapi?
Hivi na wewe unaamini kabisa kuwa kuna viwanda 52,000?
Hakika Tanzania ni taifa la wajinga hasa.
Viwanda 52,000 Tungekuwa navyo nchi yetu ingelikuwa na uchumi mkubwa kuliko hata Uingereza na sweden.
Ondoa ushabiki uliokithiri, kiwanda kimoja kina uwezo wa kuajiri watu si chini ya 2,000.
Sasa Chukua 2,000 mara 52,000=104,000,000 .
Kwa hiyo kila mtanzania angekuwa na ajira hadi tungeomba mamilioni ya wahamiaji ili kuja kufanya kazi, Kama ilivyo canada na marekani.
Kifupi hata China wala Japan wasingeweza kutufikia, tungelikuwa superpower si tu Africa, bali duniani pia.
Hapo bado hujaweka migodi, na sekta ya kilimo na utalii.
Tungelikuwa taifa Tajiri kupindukia.
Hizo ni karakana 52,000 na siyo viwanda.
Ulivyo mjinga unaweka hadi sehemu za kufyatulia tofali halafu unaita kiwanda.
Huo mwenge umebomoa kabisa uwezo wenu wa kufikiria, yaani mavi mnaita keki.
Ikiwa unahoji nimeishia darasa la ngapi; kwa maelezo yako hayo inaonesha darasa lolote nililoishia litakuwa ni kubwa kuliko ulipoishia wewe manake huelewi na umeishindwa kabisa kuunganisha dots! Umgeweza kuunganisha dots wala usingepata shida ya kuandika yote hayo!

NEXT TIME ACHA KUITA WATU WAJINGA WAKATI MJINGA HAPO NI WEWE USIYEELEWA!
 
Watu wanapinga bila kuwa na uelewa wa makundi ya viwanda. 1. Viwanda vidogo jamii ya sido (hivi ni vingi sana), 2. viwanda vya kati, na 3. Viwanda vikubwa.
 
Ukawa uelewa wao mdogo unawaponza kwa kutoa hoja mufilisi! MTU akisikia kiwanda anadhani ni vile tu vya kutengeneza roketi! Hata tooth pick pia inatengenezwa kiwandani!
 
Tuchukulie tanzania INA mikoa 30,Fanya kila mkoa uwe na viwanda 10,000.utapata viwanda 30,000.hvyo viwanda 22,000.Viko wapi?
 
Wewe na waziri wako.akili ndogo.
Ikiwa hata kuelewa kitu kidogo kama post umeshindwa; sasa hiyo akili hiyo uitoe wapi! Na good enough ID yako says it all manake ni mjinga tu ndie anaweza kushindwa kuelewa hata lugha ya picha...!!!
 
Ikiwa hata kuelewa kitu kidogo kama post umeshindwa; sasa hiyo akili hiyo uitoe wapi! Na good enough ID yako says it all manake ni mjinga tu ndie anaweza kushindwa kuelewa hata lugha ya picha...!!!
Tatizo haujielewi.unatetea nini?unataka kusema tanzania ina viwanda 52,000.?una akili kweli wewe?
 
Labda hapo ni ufafanuzi wa kitaalamu unahitajika kuhusu maana ya viwanda ili kama alitoa hiyo takwimu ya viwanda 52,000 Watanzania wajua anamaanisha ni viwanda gani hivyo.

Maana kuna viwanda Vikubwa na Viwanda vidogo vidogo

Naona wengi tunashangaa tu kuwa na viwanda 52,000 Tanzania lakini ikifafanuliwa may be viwanda hivyo vipo tusishangae sana kisa tumezoea kiwanda mpaka tuone kama kile cha Cemet pale Tegete.

Mamlaka husika fafanueni hiyo takwimu ya Waziri kuhusu viwanda 52,000 ni viwanda vya aina gani ili kutoleta tafsiri potofu kwa jamii kama ambavyo inaendelea sasa ktk mitandao ya kijamii.
 
Dah kwa viwanda elfu 52 nadhani hata ujerumani nchi iliyoendelea zaidi ulaya kiviwanda haitufikii,
Uwongo mwingine bwana wala huhitaji PhD kung'amua
Mkuu aliyeongea hajakosea. Yeye kahesabu na vile viwanda alivyowashauri wakulima wa nyanya waazishe majumbani mwao.
 
Back
Top Bottom