Waziri Mwijage: Kwa sasa Tanzania ina zaidi ya viwanda 52, 000

Tuchukulie tanzania INA mikoa 30,Fanya kila mkoa uwe na viwanda 10,000.utapata viwanda 30,000.hvyo viwanda 22,000.Viko wapi?
Mikoa 30 kila mkoa viwanda 10,000 HESABU za std 2. 30 * 10,000 =300,000.! Ndo maana JPM aliwatimua wale wanafunzi wa UDOM.
 
Ukawa uelewa wao mdogo unawaponza kwa kutoa hoja mufilisi! MTU akisikia kiwanda anadhani ni vile tu vya kutengeneza roketi! Hata tooth pick pia inatengenezwa kiwandani!
Sawa. Hilo lipo wazi hata chekechea anajua viwanda vipo makundi tofauti. Swali: Hivyo 'viwanda! vya kutengeneza toothpick na kusaga mahindi ndivyo vitatupeleka uchumi wa kati? Ndivyo mlikuwa mnaahidi wakati wa kampeni? Ndivyo vitatoa ajira kwa maelfu? You aint serious pal!
 
Hapana naona kuna kitu hukijui vema wakati wa Mchonga viwanda vyote vilimikiwa na serikali kwa asilimia mia moja
Baadae wakalegeza kidogo ikawa ni kwa ubia na serikali halafu katikati hapo vikapiga mweleka mkubwa vikafa vyote kisha vikauzwa na kubinafisishwa kwa bei chee
Baada ya hapo ndio watu binafsi wakaanzisha viwanda vyao, kwa hiyo sizungumzii facilitation ya serikali bali umiliki

viwanda1.PNG

Mkuu mshana jr Asubuhi hii waziri wa Viwanda bwana Mwijage ameweka bayana bungeni kuwa serikali hii haijengi viwanda bali ina facilitate mazingira ya viwanda ikiwa ni pamoja na kutafuta wawekezaji watakaowekeza katika viwanda.
 
Kama ni hivyo basi washatimiza lengo,tumeshakuwa nchi ya viwanda sasa.

Hongera Serikali yangu ndani ya mwaka mmoja tayari tumeshakuwa nchi ya viwanda

Hongera Serikali yangu umaskini umepungua sana kwa mujibu wa Mh. Mpango.

Nauliza: hivi viwanda 52000 havijaajiri wafanyakazi maana tatizo la ajira bado lipo kubwa.

Siku nyingine Waziri utupe na majina ya hivyo viwanda na anuani zake ili tujue mahali vilipo ili tuwaelekeze wadogo zetu wakaombe kazi.
 
Hapo atakuwa kahesabiamo na vile vya viroba! Ukitaka kujua idadi kamili kamuulizeni tena tarehe 2 march naamini idadi haitakuwa hiyo
 
Viwanda elf 52 duh! Yan kiongoz mzm kabx kaongea ivo kumbe ata nkiwa na machine tu ya kutengeneza juis embe na miwa basi nahesabiwa ninakiwanda duh
 
Acha ubishi wewe; Mitanzania bhana! Yaani kila kitu wao ni kupinga tu... no research, no right to speak! Nimefanya utafiti, nimegundua Kaijage yupo sahihi or else, prove otherwise:

Kiwanda cha Kuzalisha Mafuta ya Alizeti

View attachment 424474

Kiwanda cha Kuzalisha Jibini a.k.a Cheese

View attachment 424477
Kiwanda cha Kuzalisha Matofali

View attachment 424478

Kiwanda cha Kuzalisha Mafuta ya Mawese

View attachment 424479
Kiwanda cha Kubngua Korosho

View attachment 424480
View attachment 424483
Kiwanda cha Kuzalisha NondoView attachment 424485
Kiwanda cha Kuzalisha Mafuta ya Alizeti
View attachment 424487

Leteni sasa ubishi wenu... hapo nimeweka sekta chache sana lakini assume kuna viwanda 20 kwa kila sekta hapo juu... unapata viwanda vingapi hapo? Sio kila mnapinga bhana.....!!!
Hahahahahaha kwa hyo sekta 20 kwa viwanda 20 inaleta 52,000??? Hizo statistics mnasomea wapi??? Majibu mepesi kwa maswali magumu sasa kiwanda cha kufyatulia tofali kina impact gani kwa watanzania milion 50...... sisi tunataka heavy industries mkuu sio kiwanda cha kuajiri watu 10 tena unskilled labour wa kubeba zege u cant be serious....... tunataka heavy industries ili uzalishaji uwe mkubwa na tuweze kuexport vitu nje GDP ipande sio mnakuja na propaganda yaani kufyatua matofali na hako kachumba kamoja ka kusaga alizeti chenye wafanayakazi sio zaidi ya watano ndio viwanda mlivyotaka kutuaminisha watanzania kwenye kampeni????

Hivyo 52,000 am sure vilikuwepo hata kabla ya magufuli sasa kma vilikuwepo huo uchumi wa viwanda mnaoongelea nyie ina maana mliukuta??? Hya vilivyojengwa wakati wa magy vingapi??? Leteni such statistics sio porojo afu mnasema no research no right to speak eti kisa umegoogle tu picha za mawaziri wakienda viwandani basi eti ndio RESEARCH???? shame on u
 
Sawa. Hilo lipo wazi hata chekechea anajua viwanda vipo makundi tofauti. Swali: Hivyo 'viwanda! vya kutengeneza toothpick na kusaga mahindi ndivyo vitatupeleka uchumi wa kati? Ndivyo mlikuwa mnaahidi wakati wa kampeni? Ndivyo vitatoa ajira kwa maelfu? You aint serious pal!
Nadhani tusome na kuelewa kiwanda ni nini,ndotuingize hizo mashine za kusaga.
 
View attachment 424435

Kuelekea uchumi wa viwanda nchini, serikali imefanikiwa kufufua na kuanzisha viwanda ambapo kwa sasa vinavyofanya kazi vipo zaidi ya 52,000. Sekta hiyo pia imetajwa kuwa inatarajia kukuza uchumi wa watanzania asilimia 40.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonesho ya viwanda Tanzania yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam kuanzia Disemba 7 hadi 1, 2016.

“Kuelekea ujenzi wa uchumi wa viwanda, nilipewa maelekezo kufanya mambo matatu, ikiwemo uhakikisha vilivyopo ambavyo vingi vilikuwa vinazalisha chini ya kiwango vinaongeza uzalishaji, pili vilivyobinafsishwa ambavyo havifanyi kazi vinafanya kazi na la mwisho nilipewa agizo la kuhakikisha wekezaji wa ndani na nje ya wanakuja kuwekeza,” amesema na kuongeza.

“Katika kipindi cha mwaka mmoja tangu serikali hii iingie madarakani, kuna viwanda 52,000 vinafanya kazi na kwamba asilimia 40 ya watanzania uchumi wao utatokana na viwanda.”

Aidha, Mwijage amesema Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kupitia taasisi yake ya Mamlaka na Maendeleo ya Biashara Tanzania, imeandaa maonesho yatakayokutanisha wadau wa sekta ya viwanda kwa lengo la kutangaza pamoja na kujadili fursa za masoko ya ndani na nje ya nchi.

Amesema maonesho hayo pia yatatoa taswira ya juhudi za ujenzi wa viwanda katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Chanzo: Dewji Blog
Viwanda vya kutengeneza mbege, komon, gongo, dadii, kangara n.k ukijumlisha vyote
 
Hahahahahaha kwa hyo sekta 20 kwa viwanda 20 inaleta 52,000??? Hizo statistics mnasomea wapi??? Majibu mepesi kwa maswali magumu sasa kiwanda cha kufyatulia tofali kina impact gani kwa watanzania milion 50...... sisi tunataka heavy industries mkuu sio kiwanda cha kuajiri watu 10 tena unskilled labour wa kubeba zege u cant be serious....... tunataka heavy industries ili uzalishaji uwe mkubwa na tuweze kuexport vitu nje GDP ipande sio mnakuja na propaganda yaani kufyatua matofali na hako kachumba kamoja ka kusaga alizeti chenye wafanayakazi sio zaidi ya watano ndio viwanda mlivyotaka kutuaminisha watanzania kwenye kampeni????

Hivyo 52,000 am sure vilikuwepo hata kabla ya magufuli sasa kma vilikuwepo huo uchumi wa viwanda mnaoongelea nyie ina maana mliukuta??? Hya vilivyojengwa wakati wa magy vingapi??? Leteni such statistics sio porojo afu mnasema no research no right to speak eti kisa umegoogle tu picha za mawaziri wakienda viwandani basi eti ndio RESEARCH???? shame on u
Ndo maana hivi majuzi nilimwambia Pascal Mayalla kwamba nimestaafu kutumia sarcasm...

TIP: Wakati mwingine posts za chige unatakiwa uzisome kinyume nyume... shauri yako!!!! Mimi ni mnafiki... narudia, MIMI NI MNAFIKI! Ukiona nakusifia unatakiwa kujiuliza mara mbili mbili hivi ni kweli nakusifia au unafiki tu!!

Akili za mbayuwayu....
 
Back
Top Bottom