Waziri Mwigulu Nchemba apiga marufuku safari za nje kwa wote waliotajwa kwenye sakata la mchanga

Msaada wa orodha ya majina hayo maana nawasikia wawili tu.
1.Chenge
2.Karamagi
3.
4.
5.
DCJQF6XXkAA-C9t.jpg:large
DCJQF6XXkAA-C9t.jpg:large
 
Sasa ulitaka waseme zidumu fikra za mwenyekiti?
Kama wao wanalalamika kila siku na wanaomba serikali wasifanye misiba sehem za siasa iweje wao wafanye?
"Mwiguru" ana mamlaka gani ya kupiga marufuku safari za watu.
Mambo ya nje ndio wangenyanganya passport zao ndio ningewaelewa.

Haya tuambie mwiguru ndio nani.
 
"Mwiguru" ana mamlaka gani ya kupiga marufuku safari za watu.
Mambo ya nje ndio wangenyanganya passport zao ndio ningewaelewa.

Haya tuambie mwiguru ndio nani.
Utakua chagadema au kafu maana ndio hamna uzalendo na mnaoinga kila kitu
 
"Mwiguru" ana mamlaka gani ya kupiga marufuku safari za watu.
Mambo ya nje ndio wangenyanganya passport zao ndio ningewaelewa.

Haya tuambie mwiguru ndio nani.
Polisi wa uhamiaji wapo chini ya wizara ya mambo ya ndani ambayo mwigilu ndio wizara yake
 
"Mwiguru" ana mamlaka gani ya kupiga marufuku safari za watu.
Mambo ya nje ndio wangenyanganya passport zao ndio ningewaelewa.

Haya tuambie mwiguru ndio nani.

hehehheehe unataka kupima mamlaka ya Mwigulu sio.....,msiwe na viburi vya kijinga vitakavyo wacost. iyo passport inatolewa na idara iliyo chini ya wizara ya mambo ya ndani. leo unahoji mamlaka wa waziri wa wizara husika.
 
Ningeona hatua imepigwa ya kijasiri kama Waziri Mwigulu angetoa amri watuhumiwa waripoti mara moja ktk vituo vya Polisi vilivyo karibu nao mfano Mtemi Andrew Chenge ambaye yupo Dodoma aripoti mara moja Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma na kuwekwa rumande kama watuhumiwa wa madawa ya kulevya walivyoamrishwa waripoti mara moja Central Polisi DSM.

Watuhumiwa hawa wa mikataba mibovu iliyosababisha wanyonge kukosa huduma muhimu kama matibabu, MRI scan, x-ray na wengine wengi kufa au kuishia na ulemavu wa kudumu hawahitaji kupata katazo tu la kusafiri nje ya nchi. Watuhumiwa hawa wahujumu uchumi walitakiwa kuwa wameshaanza kuhojiwa usiku huu ktk vituo vya Polisi na zoezi hili lingeendelea kwa siku nyingi bila dhamana kutolewa ili kuepusha ushahidi wa tuhuma za vitendo vyao viovu kufichwa, kupotea au kuharibiwa.

Hapa mimi naona hakuna mkakati wa kuwabana hawa watuhumiwa bali ni kutafuta kiki isiyo na mashiko ya drama / maigizo kuonekana nia ipo kufanya maisha ya wanyonge kupata nafuu ya huduma za kiafya, elimu na KILIMO KWANZA kupitia ''matrillioni'' ya Shillingi za ''Mchanga wa Dhahabu''.
 
Back
Top Bottom