Waziri Mwigulu Nchemba apiga marufuku safari za nje kwa wote waliotajwa kwenye sakata la mchanga

Tutaona mengi mwaka huu kwa huyu mtu. Ama kweli shetani akizeeka huanza kubadilika na kuwa malaika!
 
Hujui kama passport zinatolewa wizara ya mambo ya ndani idara ya uhamiaji ambayo mwigulu nchemba ndo waziri wake? Sasa mambo ya nje inahusikaje tuhabarishe,, yani nyie bana ni kupinga kila kituuu mnatia aibu
hahaha
 
Msaada wa orodha ya majina hayo maana nawasikia wawili tu.
1.Chenge
2.Karamagi
3.
4.
5.
 
"Mwiguru" ana mamlaka gani ya kupiga marufuku safari za watu.
Mambo ya nje ndio wangenyanganya passport zao ndio ningewaelewa.

Haya tuambie mwiguru ndio nani.
Mwigulu ni Waziri wa Mambo wa Ndani ambaye Polisi na Uhamiaji wapo chini yake
 
"Mwiguru" ana mamlaka gani ya kupiga marufuku safari za watu.
Mambo ya nje ndio wangenyanganya passport zao ndio ningewaelewa.

Haya tuambie mwiguru ndio nani.
Hujui kuwa uhamiaji ipo chini ya Mwigulu ?
 
Back
Top Bottom