Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Ni dhahiri waliowapoteza wanajulikana.Kama imefahamika kuwa ni wahalifu inamana pia inafahamika aina ya uhalifu walioufanya na sehemu ulikofanyika na wauwaji wanafahamika.
 
Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Wewe ni mjinga. Unadhani ni watu wangapi wanatumia smartphone. Kwa hiyo ukiona kitu hapa kuna watanzania wangapi wameweza kuona habari ya huku.
 
Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Nondo aliyeokotwa na Kada wa Chama chetu pale Sao Hill na kumpa nauli aende kuripoti police. Kumbe alijiteka?? Kwa kuwa nchi hii ni mabingwa wa spinning sishangai hata Police Kanda Maalumu alipishana pakubwa na mwenzake wa Iringa na Kada aliyemwokota. Lkn sikushangaa nguvu iliyomtoa Waziri na RC wa mjini Daslam. Mkamgeuzia eti alijiteka na mkampa under cover wenu wa kike kazi ya kujifanya Mke wa Nondo. Bahati yenu mimi sie huyo mwanamke baada ya kesi ningemlazimisha kumwoa manina
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu

Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya, ujambazi na mengineyo

Chanzo: Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo
Kwa hiyo wahalifu siku hizi wanapotezwa, ndio sheria mpya za nchi hii, ukiwa muhalifu tu unapotezwa na haipaswi hata kujulikana kama upo hai au mfu?!! kweli madaraka yanalevya
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu

Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya, ujambazi na mengineyo

Chanzo: Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo
Hivi huyu Mwigulu ana matatizo gani?hivi Dr's wana tatizo kwenye kufikiri au ni mimi tu ndiyo siwaelewi?
 
Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Ukijitokeza wanakupoteza na ww ili kupoteza ushaidi, ila kama wewe umeamua kujitoa ufahamu sawa.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu

Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya, ujambazi na mengineyo

Chanzo: Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo
Kweli sasa naamini sikio la kufa halipati dawa, na dola iliyoishiwa maarifa ya kutawala huanguka. Ni muda tu unasubiriwa hawana uwezo wa kujenga hoja wala kushawishi watu wenye fikra pevu.
 
Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..

Ameponzeka kwani mahakama imeshamkuta kwamba ni guilty? Kama ndio sawa, ila kama siyo tuliza mshono
 
Umetaka List,nimekupa endeleza mjadala.
Unataka nikutajie nchi,
Tanzania ndo raia wanapotea kiutata.
Watu 300

Mbona waliopotea ni wachache? ukilinganisha na watu waliouwawa huko Mkuranga, Kibiti etc.
Kwa hili Polisi wapewe pongezi kwa kazi nzuri. Saa Kibiti tulivuuuu! Kamanda Sirro and Team Hongereni sana sana!
 
"Tuna waziri wa mambo ya ndani wa ajabu haijawahi kutokea" kwa hiyo mhalifu adhabu yake ni kupotezwa? Mwiguru ndiyo wewe uliyekuwa unautaka urais?? hufai kuwa hata mwenyekiti wa nyumba 10.
 
Mhalifu dawa yake ni kupotezwa. Mwigullu hongera kwa kazi nzuri! Umefanya kazi safi sana! hebu fikiria tungeendelea kulalamika huyu kachinjwa , ooh yule kachinjwaa na huu mtandao ungetoka kibiti ungeingia mpaka Dar... wapewe hongera kwa kazi nzuri. Huyo Zitto anataka kupotosha umma tu.
 
Back
Top Bottom