Waziri Mwigulu alisema nchi ina Uwezo wa kulipa Ndio sababu inakopa mkamshambulia, Bashe kasema nchi ina mchele hakuna haja ya Msaada mnamshambulia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Wabongo ni pasua kichwa sana

Bashe anasema mchele uko kibao hakuna sababu ya kuchukua wa Msaada, anashambuliwa kila kona

Dkt. Mwigulu alisema nchi inakopa kwa sababu ina uwezo wa kulipa, akashambuliwa sana mitandaoni eti kama Uwezo upo Kwanini anaenda kukopa

Hivi Wabongo huwa mnatafakari mambo au mnaendeshwa na mihemko tu?

Baadae Mlale Unono 😄🔥
 
Sasa ndo nini? Uzi wa std 7 bana... alafu unatuambia eti. badae! Kwamba utatuletea Pumbafu nyingine badae🤔🤔kijana wakijani tuache kidogo tujadili yamaana
 
Tatizo chadema hawana mihuri shingoni kama ngombe wa kisukuma, utawajua wakianza kuongea
 
Wabongo ni pasua kichwa sana

Bashe anasema mchele uko kibao hakuna sababu ya kuchukua wa Msaada, anashambuliwa kila kona

Dkt. Mwigullu alisema nchi inakopa kwa sababu ina uwezo wa kulipa, akashambuliwa sana mitandaoni eti kama Uwezo upo Kwanini anaenda kukopa

Hivi Wabongo huwa mnatafakari mambo au mnaendeshwa na mihemko tu?

Baadae Mlale Unono 😄🔥
Zote hizi ni kauli za shujaa donor country pia walimshambulia!
 
Ukweli utajulikana, hivi punde tu.

Vinara wengi wanaopinga kauli ya Mh. Bashe sio Watanzania.

Ni keyboard Warriors tu, As a Matter of Fact hawa ndio waliopewa jina na wataalam na wabobezoli wa masuala ya Disinfromation na Misinformation-Wanaiiita Digital Blackface gonga link ujiridhie. Na huko ndiko kunanipeleka kusema hawa "washambulizi" ni Digital Wananchi-hawa wana hulka sawa tu na hao wa Digital Blackfacing Matendo yao au Modis operandi zao ni hizo hizo.

Nasema kwa uhakika kabisa nikitembea kifua mbele. Yani haiwezekani Mtanzania akawa analilia kutawaliwa, aidha kwa mawazo, kifikra na hata tumbo lake kwa wakati mmoja. Vyote vitatu kwa pamoja? ama Huyo kapotea, ni msaliti, ni kibaraka au wakala wa kibeberu.

Ni hivi hawa wanataka tuukubali ukuu wa Wazungu,(white supremacy) kitu ambacho hakipo. na Hakikubaliki
Piga ua. Na ndio unaona hizi blaming and shaming.

Haijalishi....

Unafika pahali unasema 'No thank you'
=== Haiwezekani, ama utakuwa unapuuza kanuni na sheria za tatu za Newton. Yaani Newton third law of Physics

Ni tete-a-tete , upambane na kutetea haki yako, upambane kutetea uhuru wako na upambane kutetea Utu wako. Vyote kwa pamoja unatengeneza Sovereign na nguzo za kusema Ahsante tunashukuru utu wako uhuru wako na haki yako ya kutoa msaada. Lakini na mimi naomba uheshimu Haki yangu, utu wangu na uhuru wangu wa kukataa Misaada.

Nasema hivi, napinga kwa nguvu zote kwamba ni Watanzania wengi ndio wanaomshambulia Mwigulu au Bashe-Sio kweli kabisa na ikumbukwe haya mawili haya mahusiano ya moja kwa moja ingawa yote yanaweza kuingilia Uhuru wa Mtanzania(His sovereign state)

Wabongo ni wabongo na Tunajitambua. No to Misaada
 
Back
Top Bottom