Waziri mwanamke wa JK awasifu ‘mafataki’

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
Waziri wa Nchi, Ofisi ya makamu wa Rais, Dr. Theresia Hovisa katika kongamano la vijana kuhusu ukimwi alisema kuwa alitiwa mimba na ‘fataki’, halafu alimsifia ‘fataki’ huyo kwa kumsomesha, na amewataka wasichana wawe makini na ‘mafataki’ wa siku hizi (Mtanzania, Dec. 1, 2010).

Huyu Mama amekuwapo UDSM ofisi ya Dean of Students kwa muda na alikuwa akishiriki kugawa vyumba lakini alikuwa cool sana sio aggressive kama Suzan Lyimo, Manongi na Mama Bali. Alikuwa anakaa Hall III kwenye nyumba ya warden akiwa kama warden wa hall hilo.

Mama huyu alikuwa ni ‘Nyumba Ndogo’ ya marehemu Lawrence Gama ambaye alikuwa kada wa CCM na pia aliwahi kushika nyadhifa mbali mbali serikalini na kwenye chama mpaka ngazi ya Ukatibu Mkuu wa CCM.

Nafikiri fataki ni fataki tu, awe wa 1950s, 60s, 2010 wote ni ‘mafataki’. Je, yeye hakuwa makini? Au anawasii wasichana wawe makini na si kama yeye alivyokuwa si makini? Je, mfano gani anatoa hapa kwa wasichana wa leo? Hivi kwa nini kama ni jasiri kiasi hicho hakumtaja huyo ‘fataki’? Maanake isijekuwa ‘fataki’ mwenyewe ni huyo marehemu Gama!!! Na kama ni marehemu Gama basi yawezekana ‘mafataki’ wengi ni viongozi wa ngazi za juu aidha wa serikali au vyama vya siasa hasa CCM. Na pia ana uhakika gani kuwa 'mafataki' ya siku hizi hayawasomeshi hao mabinti? Kama PhD holder ilibidi atoe evidence!!

Hapa ndipo mawaziri wa JK wanaponiumiza kichwa katika uwezo wao wa kufikiri – yaani unamsifia ‘fataki’ ambaye analaaniwa na jamii! Je, thinking capacity hii ndio ataitumia kupambana na climate change? Na je, tabia ya kupenda mafataki ameacha au naye amekwisha kuwa ‘fataki’ wa kike?!
 
You are right, huyu mama alikuwa nyumba ndogo ya Marehemu Gama, tuliosoma pale mlimani miaka ya 90 tulikuwa tunamuona Gama pale Hall 111 akija na kuondoka. Wakati huo degree yake ilikuwa ni Bachelor. Hiyo kauri siyo nzuri hususani kwa kipindi hiki cha kuanza kazi kwa kuwa vijana huwa wana tabia ya kuiga na hivyo wengi watadanganyika kuwa ukimpata FATAKI atakusomesha mpaka level ya PhD kama Mama Hovisa na ukawa waziri.
 
Back
Top Bottom