mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
unapokaa unasikia wabunge wanasema watoto wetu darasani wafundishwe kiswahili maana ndio lugha ya taifa ndio uone hii nchi tunapokwenda..kwa dunia ya sasa hivi shuleni watoto wetu inabidi tuanze kuwafundisha masomo yote kiingereza maana dunia imebadilika na imesogea na wakati sie watanzania tumebaki nyuma..alafu wakenya wakija kutuchukulia kazi zetu mnalalamika...bunge la kenya na uganda linaendeshwa kiingereza kwanini la kwetu linaendeshwa kiswahili? juzi juzi wakati wanachagua wabunge wa afrika mashariki niliangalia jinsi hao candidates walivyokua wanajielezea kiingereza sikuamini nilichokua nasikia...na hao ni wasomi wengine ni doctors/professors...wakenya na nchi zingine wanatucheka sana..inabidi tubadilike tuanze kufundisha kiingereza kuanzia darasa la kwanza na iwe kila mahali mpaka vijijini...ukiangalia private schools zinafundisha in english na its such a joy unapoona watoto wadogo wana miaka 5 lakini wanaongea good english
hii iwe moja ya changamoto kwako wewe mheshimiwa visiwa vya pemba na zimbabwe
hii iwe moja ya changamoto kwako wewe mheshimiwa visiwa vya pemba na zimbabwe