Siasa za nchi hii hazinogi bila kutajwa kwa jina la lowassa!
Ni kweli ni Raisi mtarajiwa
Lowassa yupo ndani ya damu za watanzania,maafisa wa serikali na hata wengi wa mawaziri wanaripoti kwake
Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.
Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
hatudanganyiki muzee wa richimond hapewi nchi kamwe kama huamini wait and see hata dr slaa anapewa kila kitu
Haya maneno yananichanganya xana:- Lais, Raisi, Rais na Rahisi. Wataalam wa lugha ya kiswahili nisaidieni kuhusu maana.
Ujinga mtupu, nilipoona kichwa cha habari nilidhani Muhongo kajisalimisha kwa lowasa, kumbe wanaiba nyaraka? Kitu ambacho ni kawaida kabisa serikalini.
Angalau, hadi dakika hii hajawekewa price tag na Lowasa. Ningeshangaa
wamesema Lowassa ndio anaamua mradi upi upite upi usipite
muulize mkuu Ben Saanane analo jibu sahihiHivi Kaskazini ni wapi (i mean ni maeneo yapi) inclusion yake ni wapi na wapi? Kanda hizi kusini,kaskazini,mashariki,magharibu, na zingine kama zipo ziina include wapi na wapi(maeneo yapi)? Tafadhali ni msaada tu ili nijue mie nipo kanda gani, ili nijiandae kula ama kuliwa, thanks
hivi xana linakukera etiii? ulivyokazania wacha watu wafurahie nuhuru wao wa mawasiliano eboooKabla hujamshangaa huyo jishangae mwenyewe; hivi ni xana au sana?...
Hamkumbuki Sophia Simba aliwahi kusema kuwa hakuna mwanaume wa shoka hapa Tanzania kama Lowasa? Haishangazi hata wanaume wenzake kawaweka mfukoni kwake !
Aliingia kwa mbwembwe, ukorofi na mashauzi. Akafika hatua ya kuwaita baadhi ya wabunge wala rushwa... Sasa anaangukia pua. Mzee wa Monduli na mtandao wake ndani ya wizara ya nishati na madini, wana kila waraka wa siri anayosaini Bw. Muhongo. Mtu mmoja aliyekaribu sana na Muhongo anawapitishia vijana wa Lowassa kama Ngeleja baadhi ya nyaraka (proposals) toka kwa wawekezaji inayohusiana na madini na nishati.
Licha ya Muhongo kushindwa kuiendesha wizara, hakuna mwekezaji anayekuja wizarani bila Lowasa kupewa taarifa. Safari zote na taarifa ya vikao vyote vya muhongo nje na ndani ya nchi mzee manywele anazo. Nimethibitisha kwa kuiona waraka mzito unaohusiana na maswala ya gesi aliyoletewa mheshimiwa rais mtarajiwa 2015. Ni Lowassa anaamua mradi gani upite au mradi gani upigiliwe msumari ndani ya jeneza. Ni mtandao mzito.
Kwa akili yako fupi unadhani kupewa nyaraka ndiyo kuwa rais muulize mlema alitoka serikalini na nyaraka nyingi sasa aliishia wapi,twende kwa slaa altumia pesa nyingi kununua nyaraka za serikali muulize nini kilimkuta,usifikiri kila mwanaume anayemvua nguo msichana anamuoa la hasha wengine waishia hatua hiyo na kuwajengea majumba pamoja na kuwanunulia magari wanawaacha solemba.take care.
Ndani ya damu ya watanzania?Labda mimi siyo Mtanzania
Ndani ya damu ya watanzania?Labda mimi siyo Mtanzania