waziri mstaafu kuigeuka serikali

omereyo

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
308
225
je anataka arudi ama sifa tu?nimemsikia nzee wa vijisenti akimuondolea mwakyembe shilingi kuhusiana na uwanja wa ndege mwanza,alivyokuwa jikoni alishindwa nn?au ndio fisadi anambana mwanaharakati?
 

bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0
Vijisenti anatapatapa hela anazo lakini meno hana. pombe hana uwezo nazo na vingine vingi anaviangalia kwa macho tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom