Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watu wenye miaka 45 na kuendelea ndio ambao wanaongoza kwa kupata #COVID19
Amekumbusha umuhimu wa kutumia njia zote kupambana na maambukizi ikiwemo kufanya mazoezi na kula vizuri
Aidha amegusia utaratibu wa kujifukiza ambao ulitumika kama mawimbi yaliyotangulia