#COVID19 Waziri Mkuu: Wenye miaka 45+ wako kwenye hatari zaidi kupata COVID19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
1626850991025.png

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watu wenye miaka 45 na kuendelea ndio ambao wanaongoza kwa kupata #COVID19.

Amekumbusha umuhimu wa kutumia njia zote kupambana na maambukizi ikiwemo kufanya mazoezi na kula vizuri.

Aidha amegusia utaratibu wa kujifukiza ambao ulitumika kama mawimbi yaliyotangulia.
 
Tulikuomba ufike Kilimanjaro, hospital za KCMC na Mawenzi, ujionee yanayoendelea mortuary zao.
 
Huyu huyu ndo alikuwa ameweka corona pembeni Leo anaibuka?

Poor Africans
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watu wenye miaka 45 na kuendelea ndio ambao wanaongoza kwa kupata #COVID19

Amekumbusha umuhimu wa kutumia njia zote kupambana na maambukizi ikiwemo kufanya mazoezi na kula vizuri

Aidha amegusia utaratibu wa kujifukiza ambao ulitumika kama mawimbi yaliyotangulia
Tunakulaje vizuri wakati tunaishi chini ya nusu dolari? Na matozo kibaoooooo. Taendelea kula milenda yangu isiyo na karanga!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom