Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, aondolewa ulinzi

he!!! nilijua ulinzi upo kisheria kwa wakuu wastaafu, au ukienda upinzani ulinzi unaondolewe 'automatik? tupeni ufahamu
Nami nilijua hata akihamia upinzani bado ni kiongozi wa kitaifa kwa hiyo tulitegemea tuwe tunamuona kwenye matukio ya kitaifa kama lile la kuapishwa mh Rais lakini ajabu hatumuoni.
 
fisadi analindwa na ulinzi wa serikali?

ilibidi sasa hivi awe analindwa na askari magereza ukonga.
 
Watanzania mbali na kuwa wavivu wa kufanya kazi, pia ni wavivu namba moja wa kupenda kujisomea. Mtu kapewa chanzo cha habari, ungekuwa makini angelitafuta gazeti hilo na kujiridhisha ni nini juu ya habari hiyo?...sisi tunafakamia tu na kukimbizana bila kuwa na taarifa za kutosha.

Mh. Lowassa hajanyang'anywa ulinzi wa serikali kama viongozi wa juu serikaloni aliyeitumikia serikali kama waziri mkuu, Bali mlinzi jina tajwa, aliyekuwa na Lowassa kwa muda wa miaka kumi karudishwa ofisini kupangiwa kazi nyingine, lakini walinzi wengine WAPO wanaendelea na majukumu yao.
 
Magufuli ana roho ya revenge kuliko jk,hata bomoa bomoa ya dsm ni kwa vile watu wa dar tumemnyima kura

kama watanzania wote tutakuwa na uelewa wepesi na aina hii ya kipumbavu ya ujengaji hoja basi nina uhakika tuna safari ndefu sana kufikia huko tuendako. kwahiyo ulitaka hizo nyumba zilizopo mabondeni tena karibu kabisa na mito yetu zisibomolewe kisha hao wananchi wakikumbwa na maafa au hata vifo uanze tena kuilaumu serikali kuwa haiwajali wananchi wake? kama ni kunyimwa kura mbona hata mikoa ya arusha na kilimanjaro hajapata kura nyingi lakini hatujasikia wananchi wa hiyo mikoa wakilalamika kuwa Rais anawalipizia visasi na wao? mambo kama haya ya kiuchochezi yakiachwa hivi hivi yataweza kusababisha chuki, mgawanyo na kutupeleka kubaya kama nchi na taifa. sometimes tuwe tunaficha ujinga wetu!
 
Wamefanya vizuri sanaaaaaa..... yani hilo lizee me silipendi kama nini yani mungu tu anisaidie na anisamehe bure. but kiukweli namchukia sana
 
Hakuna cha kuficha ujinga,jpm ni dikteta na sifa ya dikteta ni kuwafyeka wanaompinga,hata sadam alikuwa anakata maji na umeme maeneo waliyokuwa wanamnyima kura,akitoka dar atakwenda mbeya na arusha,bomoa bomoa ni adhabu ya kumnyima kura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom