Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, aondolewa ulinzi

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,058
Hii ni habari kubwa gazeti la Tanzania Daima, ambalo linaeleza kuwa waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mgombea wa chadema kupitia UKAWA ndugu Edward Lowassa kuwa kaondolewa ulinzi wake ambao upo kisheria kama waziri mkuu mstaafu.

1451451999865-jpg.313724
 

Attachments

  • 1451451999865.jpg
    1451451999865.jpg
    32.2 KB · Views: 1,844
Last edited by a moderator:
he!!! nilijua ulinzi upo kisheria kwa wakuu wastaafu, au ukienda upinzani ulinzi unaondolewe 'automatik? tupeni ufahamu
 
Kuwatendea mawaziri Wakuu wastaafu tofauti ni minimu Kama TAIFA tupige kelele kwakuwa hili ni jambo linaweza kumtokea yeyote kwa mazingira ya Sasa hata ccm ...ni wapinzani watarajiwa
 
Kuwatendea mawaziri Wakuu wastaafu tofauti ni minimu Kama TAIFA tupige kelele kwakuwa hili ni jambo linaweza kumtokea yeyote kwa mazingira ya Sasa hata ccm ...ni wapinzani watarajiwa
Nadhani unapayuka tu kwa mambo usiyoyajua. Lowasa tangu ahame CCM ameondolewa walinzi? Na kama ni suala la kuwa mpinzani, Mbona Maalim Seif aliendelea kuwa na walinzi wake ijapokuwa aliondoka CCM kitambo? Mbona Frederick Sumaye anaendelea kuwa na walinzi wake licha ya kuhamia UKAWA? Huyo Lowasa pia ana walinzi wengine wawili ukimuondoa huyo Tendewa. Hapo bado utailalamikia Serikali?

Ninachokiona hapa ni kwamba CHADEMA wanatafuta kick. Kamba baada ya Lowasa kupotezwa kabisa na Magufuli, sasa wanatafuta sababu ya kutajwa tajwa sana kwenye media ili asisahaulike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom