Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu aamuru ofisi za Al-Jazeera kufungwa mjini Jerusalemu

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu ameamuru ofisi za kituo cha habari cha Al-Jazeera kufungwa mjini Jerusalemu kwa madai kwamba kinahamasisha ghasia.

Katika kurasa zake za mitandao ya kijamii, Netanyahu amesema kuwa ameamuru kufungwa kwa ofisi za kituo cha al Jazeera kwa kuwa kinashawishi ghasia katika msikiti wa al Aqsa na kama sheria haziruhusu basi ataunda sheria za dharura za kukiondoa chombo hicho cha habari.
 
Duh! Netanyahu ameingia mtego wa Saudia! Kazi ipo.
Wewe unaisikia Israel ama? Hivi nchi ambayo inaongozwa na mfalme kweli kuna kitu cha kujifunza hapo? Mtu anasafiri kwenda mapumzikoni (Morocco) na safari was watu 1,000 huku akikaa huko kwa mwezi na kila siku kulala na usafiri pekee ni zaidi ya milioni 600. Huko Mashariki ya Kati kuna wakimbizi wanahangaika hawana msaada hadi wanaamua kuzamia Ulaya, wako wapi kuwasaidia?
 
Hawa Aljazeera walitaka kuchafua hali ya hewa hata hapa bongo ila walipuuziwa tu!
 
Iondoe Qatar hapo maana yenyewe ndo inatafutwa

A division between the major Arab Energy Giants (Qatar and Saudi Arabia) serves the best interest of world powers.
No wonder America made an unprecedented weapons sale to both of them (Saudis and Qataris) despite their division.
That's a booming move for America's Weapons Interest groups like Lockheed Martin, Raytheon and Boeing.
 
Back
Top Bottom