Iran: Tutapuuza maonyo ya US ya kutoingilia mzozo wa Gaza

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,500
5,838
Rais wa Iran Ebrahim Raisi wakati wa mahojiano na kituo cha televisheni cha habari cha Qatar Al-Jazeera mjini Tehran.

Tehran itapuuza maonyo ya Marekani ya kutoingilia kati mzozo wa Hamas na Israel, Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema. Pia alikashifu nchi za Magharibi kwa madai ya kusitasita kusaidia kumaliza uhasama huo.

Katika mahojiano na Al Jazeera yenye makao yake Qatar siku ya Jumamosi, Raisi alisema kwamba Washington "inatuomba tusihama huku tukitoa msaada mkubwa kwa taasisi ya Kizayuni... Hili ni hitaji batili."

Soma:
LIVE

Iran vows to ignore US warnings on Israel
Washington’s demand that Tehran keep out of the conflict with Hamas is “invalid,” President Ebrahim Raisi has said.

Tehran will ignore US warnings not to intervene in the Hamas-Israel conflict, Iranian President Ebrahim Raisi has said. He also blasted the West over alleged reluctance to help end the hostilities.

In an interview with Qatar-based Al Jazeera on Saturday, Raisi said that Washington “is asking us not to move while providing broad support to the Zionist entity… This is an invalid demand.”

The Iranian president also claimed that Israel’s expanded ground operations in Gaza were a failure, describing it as “the second victory [for Palestinians] following [the launch of] Operation al-Aqsa Storm,” referring to the initial surprise attack by Hamas on Israel on October 7.

He also said that the United States had sent messages to the ‘Axis of Resistance’ – referring to an informal alliance of anti-Western and anti-Israel forces in the Middle East – and “received a practical and public answer on the ground.”

Raisi went on to accuse the US and some unnamed European countries of “obstructing the ceasefire in Gaza,” calling such policies “a crime.” He added that “the United States’ calculations in the region are completely wrong, and said it will not achieve its goals with a new Middle East,” stressing that Tehran’s support for the Palestinians “is not subject to compromise.”

After the Hamas attack on Israel earlier this month, US President Joe Biden pledged unconditional support for Israel while warning Iran to be “careful.” At the same time, he stopped short of backing a cessation of hostilities, with several US media outlets reporting that the State Department had distributed a memo to its diplomats advising them to avoid calling for “de-escalation” or a “ceasefire” in Gaza.

Publicly, Biden has said that ceasefire talks cannot begin until Hamas releases more than 200 hostages. Meanwhile, on Monday, EU foreign policy chief Josep Borrell called for a “humanitarian pause” in the conflict, saying he believed there was consensus among the bloc’s members on the matter.

Raisi’s comments come after Iranian Foreign Minister Hossein Amir-Abdollahian warned the US that “new fronts will be opened up” against Washington if it does not change its policies in the Middle East, including its unequivocal support for Israel.
 
@Moderator
Isomeke USA
 
Kuna post nimeona kwa Elon Mask akikejeli Iran kuweka Nchi yao karibu na Military base za Marekani.
Irani amezungukwa chungu nzima na military base za marekani, lakini cha kushangaza hua haogopi chochote,Kuna siku general mmoja wa Irani aliwahi kuhojiwa kuhusu hatari ya wao kuzungukwa na base za kijeshi za marekani.

Alichojibu ni kwamba changamoto hiio walishaitatua zamani sana maana kila Kambi ya kijeshi ya marekani ilipo kwenye nchi za majirani zake, imetengewa makombora ya kutosha ambaya sio tu kwajili ya Kambi hizo za kijeshi Bali kwa taifa lililohifadhi Kambi hizo za kijeshi.

Na hii ni advantage kwao maana Irani anazo long range warning radar na anapigana akiwa kwake huku anga lake Likiwa na ulinzi wa kutosha.
 
Muulize Russia hizo Long range zake zimemsaidia nini mpaka muda huu pale Kiev. Huwajui watoto wa mjini wewe. Israel alipowashinda hawa waarabu ni kwamba yupo kwenye kila moyo wa maamuz wa nchi kubwa. Jews wapo Russia wapo Europe yote na wapo Amerika yote so ukiona marekan anatoa mkwara ujue ni Jews anakutolea mkwara.
 
Acha ujinga pia punguza miemko hawa wayahudi feki wa kizungu wamewekwa hapo na reptilian family kwa ajili ya kuharibu utamaduni wa mashariki ya kati, na teknolojia zote kubwa unazoziona zilishakuepo kipindi cha nyuma B.C(Before CHRIST).

Na kwasasa zinatokea pale Nevada Jimbo la marekani area 51 hakuna cha mzungu yeyote Wala albino feki wa kiyahudi anayehusika na uvumbuzi wowote kwenye eneo Hilo.
 
Maneno tu wamebarikiwa ila kwa field sasa 😆😆😆 watalia na kuomba huruma ya dunia. Wangekua na huo unyama wangemsaidia hamas mdogo wao maana moto anaopelekewa ni nooma
 
Kumbe wew bado ni mtoto mwaka 2010 Irani alilipa Dola bilioni 10 kwa urusi kuuziwa Air defense system ya s300, Netanyau alipiga simu nyingi kwenda Kremlin kwa Putin mpaka kufanya ziara kumuomba Putin asimuuzie mfumo huo Irani.

Hapa hadi marekani na nchi za ulaya walimbembeleza mno Putin mpaka mfumo huo ukacheleweshwa na kusababisha iran kuingia kiwandani na kuunda mfumo wake wa ulinzi unaofanana na huo wa urusi, mpaka baadae kabisa ndio urusi aliipatia Irani s300 Sasa wew hujiulizi kwanini taifa feki la wayahudi wa kizungu lilikua linamlamba miguu Putin, asiwapatie Iran mfumo wa s300 na Netanyau alikua anahangaika niny Kama yupo kwenye mioyo ya maamuzi ya serikali ya Moscow.
 
Bhangi mbaya Sasa hapa umeandika niny!
 
Huu mwaka 2023 hautaisha bila Iran kutumbukia mazima kwenye huu mzozo wa Israel
Am also waiting to see the outcomes
IMG_20231029_171723.jpg
 
Kumbe wew bado ni mtoto mwaka 2010 Irani alilipa Dola bilioni 10 kwa urusi kuuziwa Air defense system ya s300, Netanyau alipiga simu nyingi kwenda Kremlin kwa Putin mpaka kufanya ziara kumuomba Putin asimuuzie mfumo huo Irani.

Hapa hadi marekani na nchi za ulaya walimbembeleza mno Putin mpaka mfumo huo ukacheleweshwa na kusababisha iran kuingia kiwandani na kuunda mfumo wake wa ulinzi unaofanana na huo wa urusi, mpaka baadae kabisa ndio urusi aliipatia Irani s300 Sasa wew hujiulizi kwanini taifa feki la wayahudi wa kizungu lilikua linamlamba miguu Putin, asiwapatie Iran mfumo wa s300 na Netanyau alikua anahangaika niny Kama yupo kwenye mioyo ya maamuzi ya serikali ya Moscow.
Huo mfumo si upo hapo Syria. Umemzuia nini Israel kuingia Damascus kila siku. Wewe ulikolala wenzio wameamkia hapo jana. Watu wanamvuta Iran aingie mzigon. Maana Syria kashachoshwa na Lebanon kauwawa kiuchumi kabisa Iraq kalegezwa bado Iran tu.
 
Acha ujinga pia punguza miemko hawa wayahudi feki wa kizungu wamewekwa hapo na reptilian family kwa ajili ya kuharibu utamaduni wa mashariki ya kati, na teknolojia zote kubwa unazoziona zilishakuepo kipindi cha nyuma B.C(Before CHRIST).

Na kwasasa zinatokea pale Nevada Jimbo la marekani area 51 hakuna cha mzungu yeyote Wala albino feki wa kiyahudi anayehusika na uvumbuzi wowote kwenye eneo Hilo.
Mtaaendelea kumuita Allah sana kashawakimbia
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom