Waziri mkuu pinda-ujumbe wako mfupi

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Jana Waziri mkuu Pinda alisema posho ni halali kwa vile zipo kisheria. You might be right, but there are good and bad laws!!! Sheria ipo lakini ni sheria mbaya kwa vile inahalalisha WIZI wa fedha za Umma. Nilitegemea wewe uwe msitari wa mbele kuikataa sheria hiyo. It is a pity that ukaiunga mkono.
Kibaya sheria hiyo mbaya ni ya kuwanufaisha kundi dogo la watu!!! Wasiokuwa na upenyo wa kutunga sheria mbaya kuwanufaisha wafanyeje na kila mmoja ana njaa? LAZIMA WATUMISHI WA UMMA WAIBE KAMA UNAVYOSIKIA HALMASHAURI ZA WILAYA/MIJI ETC. WEWE NA BUNGE MNAJITUNGIA SHERIA YA KUIBA ETI IMEHALALISHWA, WENGINE WAFANYEJE????"
NCHI KWISHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu inaonekana unataka kujipatia umaarufu hapa jamvini hii hoja imeshajadiliwa sana.Acha unafki! Tuna mambo mengi ya kuzungumzia mathalani migodi,mikataba mibovu ya madini,safari za kipuuzi za jeykey nje ya nchi na mengine mengi.tuletee taarifa mpya za kichumguzi sio kudandia hoja za zitto.
 
Hata kama imeshazungumzwa sana lazima huyu mizengo tumchane live.Alisiwa sana alipoteuliwa kumbe ni bogus kiasi cha kutiliwa wasiwasi uwezo wake wa kuongoza.Wewe ndio unajitafutia sifa za kijinga kwa kujidai unaishu mpya kama ulizozitaja hapo juu wakati zimeshazungumzwa sana.Au mizengo ni babu yako?
 
Mkuu inaonekana unataka kujipatia umaarufu hapa jamvini hii hoja imeshajadiliwa sana.Acha unafki! Tuna mambo mengi ya kuzungumzia mathalani migodi,mikataba mibovu ya madini,safari za kipuuzi za jeykey nje ya nchi na mengine mengi.tuletee taarifa mpya za kichumguzi sio kudandia hoja za zitto.

hOJA YANGU NI VALID. KWA NINI? WZIRI MKUU ANATETEA SHERIA MBAYA. ETI ZIPO KISHERIA, LAKINI NI SHERIA MBAYA. WE HUJANIELEWA. PINDA HAJAWAHI TOA KAULI YAKE KKUHUSU POSHO. HII NDIO KAULI YAKE YA KWANZA!!!!! HAKUNA USHABIKI HAPA. USIONGEE/USIANDIKE NA JAZIBA. LET US BRING TO HIS ATTENTION/REMIND MR. PINDA THAT THERE ARE BAD LAWS, THOUGH ARE LEGALISED. NI WAJIBU WAKE TO MOVE THE LEGISLATURE TO CHANGE THEM
 
Pinda anausahau haraka sana umaskini wa Watanzania karibu milioni 40, alipopokea nafasi ile watu wengi hapa nyumbani waliamini nchi imepata mtoto wao mwadilifu na mzalendo katika madaraka , kinyume amewasaliti.... poleni na Umaskini WaTZ wenzangu, Pinda anawaza kujineemesha wakati watoto wataifa hili wakipigika hivi
248943_190482987666158_100001133736084_457580_2950002_n.jpg
 
Mkuu inaonekana unataka kujipatia umaarufu hapa jamvini hii hoja imeshajadiliwa sana.Acha unafki! Tuna mambo mengi ya kuzungumzia mathalani migodi,mikataba mibovu ya madini,safari za kipuuzi za jeykey nje ya nchi na mengine mengi.tuletee taarifa mpya za kichumguzi sio kudandia hoja za zitto.
kazuramimba,,,,,,hizo safari za nje nazo zina poshi mdauu
 
posho zinaleta motivation jamani nyie watanzania mnajuana bila posho kusingekuwa na mhudhuriaji hata mmoja wa vikao vyenye kuleta maendeleo.Mr prime minister yupo right.
 
pinda anausahau haraka sana umaskini wa watanzania karibu milioni 40, alipopokea nafasi ile watu wengi hapa nyumbani waliamini nchi imepata mtoto wao mwadilifu na mzalendo katika madaraka , kinyume amewasaliti.... Poleni na umaskini watz wenzangu, pinda anawaza kujineemesha wakati watoto wataifa hili wakipigika hivi
248943_190482987666158_100001133736084_457580_2950002_n.jpg
si ndo pinda anasema hawa anawagawia zile pesa zao za vikao!
 
Baadhi ya kahuli za Pinda zinahudhi, kwani zinajenga hisia kwamba nchi hii inatawaliwa kihusultani, ambapo agizo la JK liko juu ya sheria za nchi. Hakuna mahali popote kwenye katiba ya nchi ambapo mtu anaruhusiwa kulipwa mara mbili kwa kazi ile ile; hivyo huu utaratibu wa kujilipa mara mbili kwa kuhudhuria vikao unabaki kuwa ni wizi hata kama kumepata baraka za rais.
 
nami nlitaka kuhoji double pay,ivi mbunge kama ana mshahara wake,na kila kikao analipwa posho ya nauli,mafuta na posho ya kukalia kiti/sitting allowance,je mshahara hutumika kufanyia nini? Ni sawa na kumlipa rais mshahara wakati kila kitu hadi kandambili za bafuni utumia alizonunuliwa kwa kodi ya wananchi. Je tuna haja ya kuendelea kuwalipa hawa au tuandike tu kwenye katiba kuwa hawa watu ni state property/ whole and exclusively maintained,watoto wao govt.inatibia,inasomesha na kuwafanyia hata birthday. Hata baada ya kustaafu eti baadhi wanaudumiwa mpaka kufa,wakati mfanyakazi mwenzie anaambiwa eti akate mshahara wake alipe PPF ,LAPF, n.k ili atunze baadae,asomeshe,alipe bill umeme na maji,alipie bima ya afya,achangie maendeleo,ajenge shule,ajilipie nauli kila siku. Huo ni utumwa. Watawala wanawanyonya wananchi,mh.Pinda plz wahurumie watwana wa taifa ili.
 
Pinda anausahau haraka sana umaskini wa Watanzania karibu milioni 40, alipopokea nafasi ile watu wengi hapa nyumbani waliamini nchi imepata mtoto wao mwadilifu na mzalendo katika madaraka , kinyume amewasaliti.... poleni na Umaskini WaTZ wenzangu, Pinda anawaza kujineemesha wakati watoto wataifa hili wakipigika hivi
248943_190482987666158_100001133736084_457580_2950002_n.jpg

Wakati Mkulu amewahamisha watoto wake kutoka katika shule ya Kimataifa Arusha na kuwapeleka shule "Matawi" zaidi, huku upande wa pili hali ndio ipo hivyo!!
 
Pinda anausahau haraka sana umaskini wa Watanzania karibu milioni 40, alipopokea nafasi ile watu wengi hapa nyumbani waliamini nchi imepata mtoto wao mwadilifu na mzalendo katika madaraka , kinyume amewasaliti.... poleni na Umaskini WaTZ wenzangu, Pinda anawaza kujineemesha wakati watoto wataifa hili wakipigika hivi
248943_190482987666158_100001133736084_457580_2950002_n.jpg

Mwanangu hii wapi hii?! au umechukuwa kwenye kambi za wakimbizi?
 
Mkuu inaonekana unataka kujipatia umaarufu hapa jamvini hii hoja imeshajadiliwa sana.Acha unafki! Tuna mambo mengi ya kuzungumzia mathalani migodi,mikataba mibovu ya madini,safari za kipuuzi za jeykey nje ya nchi na mengine mengi.tuletee taarifa mpya za kichumguzi sio kudandia hoja za zitto.
ni haki yake kimsingi yuko righy
 
Back
Top Bottom