Waziri Mkuu Pinda kwanini hutaki demokrasia mtaani kwako?

Waziri mkuu kamwe hawezi kuongozwa na Chadema mtaani kwake.

Wananchi wa Kigogo Fresh B wamesema kamwe hawatakubali udikteta huu kwenye mtaa wao.

Tusubiri tuone.....
Haki ya na huyu Mzee ni taahira na ninashangaa sana kusikia eti naye anautaka u-Rais! Yaani watu wanatumia mabavu kupora haki za watu? Hebu raia wapige mvua ya nyumbani kwake mpaka ahame MTAA! Hui neo labda itamwamsha ajue kwamba RAIA wamekasirika! Tutaona Oktoba kama atahama MTAA, jimbo, wilaya, mkoa na nchi kum'make!!
 
Dalili za mvua ni mawingu. Na mawingu yenyewe yametanda kwa wale wale wanaominya demokrasia.

Lakini mnamkashifu Pinda bure huenda yeye kama yeye hana usongo na matokeo bali wale wapambe ndio wanaweka kiwingu tu. Mbona Kikwete mbunge wake ni Halima Mdee tangu 2010?
 
Watanzania muone wenyewe dhuluma na hila ya viongozi wakuu kwenu, viongozi wakuu wenye dhamania ya kutuongoza waziwazi wanapinga na kudharau kanuni za uchaguzi kwa maslahi ya chama cha mapinduzi.

Mbinu na mkakati kumtangaza mwenyekiti wa mtaa kigogo fresh B wa ccm Leo saa tatu asubuhi umegundulika, hii ni kuwadhulumu haki yao wananchi wa mtaa wa kigogo fresh B , ni aibu sababu ni kwamba waziri mkuu hataki makazi yake mwenyekiti wa mtaa atoke chama upinzani..... kupinga maovu haya wananchi wachore MSTARI na kusema basis hapana
 
Nadhani sasa ndio wakati wa kuachora mstari!
 
Dalili za mvua ni mawingu. Na mawingu yenyewe yametanda kwa wale wale wanaominya demokrasia.

Lakini mnamkashifu Pinda bure huenda yeye kama yeye hana usongo na matokeo bali wale wapambe ndio wanaweka kiwingu tu. Mbona Kikwete mbunge wake ni Halima Mdee tangu 2010?

Akiwa kama mkazi wa mtaa huo anafurahishwa na kinachofanywa na mkurugenzi huku mkurugenzi huyo akiwajibika chini ya ofisi ya Waziri mkuu?
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita umeonyesha rangi halisi ya CCM na viongozi wake.

Mtaa wa Kigogo Fresh B Pugu-Ukonga anaishi Waziri mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda.Siku ya uchaguzi tarehe 14 December uchaguzi ulivurugika haukufanyika na mkurugenzi akatangaza ungefanyika wiki moja baadaye.

Mgombea wa Chadema aliaminiwa na wananchi wa mtaa huu kwa sababu anayajua matatizo ya watu wa Pugu.Wananchi walitaka kumpa ushindi wa zaidi ya asilimia 90% uchaguzi ungefanyika.Mgombea wa CCM alishindwa hata kufanya mkutano wa wazi kwa sababu kila alikokuwa anapita anazomewa na hata watoto wadogo.

Hata hivyo siku moja kabla ya uchaguzi wa Marudio mkurugenzi wa Ilala akiwa amejifungia ofisini alimtangaza mgombea wa CCM kwamba ndiye mwenyekiti mpya wa mtaa wa Kigogo Fresh B bila ya uchaguzi.

Tangazo hili lilileta hasira kubwa kwa wakazi wa mtaa huu na wakaamua siku ya kuwaapisha kutumia nguvu ya Umma kumzuia mkurugenzi kufanya uhuni huu.Na kweli mkurugenzi akashindwa na kuahirisha zoezi.

Sasa kuna taarifa kwamba wakubwa wameamua ni lazima wamuapishe mtu wao waliyemuweka madarakani kwa njia ya mapinduzi.Kwamba ataapishwa leo Alhamisi tarehe 22/1/2015 saa 3 asubuhi katika ukumbi wa Anatougle kwa sababu Waziri mkuu kamwe hawezi kuongozwa na Chadema mtaani kwake.

Wananchi wa Kigogo Fresh B wamesema kamwe hawatakubali udikteta huu kwenye mtaa wao.

Tusubiri tuone.....

Huyo aliye zoea kulialia sasa atalia machozi ya Damu pindi kiama chake kitako fika muda si mrefu, andae majibu kwa Mola wake.
 
....

.....Tunachorana tu !!!

PG4A66851.jpg
 
watakao mchagua wao atakuwa mwenyekit wa pinda, na wana nchi wana mjua kiongozi wao!
 
Akiapishwa bila ridhaa ya wapiga kura atamuongoza nani? Mbaya zaidi wanamhatahi nhata masisha yake a familia yake kwani ni lazima arudi mtaani na uihi waliomkataa
 
Pinda mhuni tu, kama alibariki Matata kuwa meya Ilemela atashindwa kwa Mwenyekiti wa mtaa?!.
 
Back
Top Bottom