TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 861
Ha Ha Haa...
Hupendi tena chama chako kinachokupa mlo wa siku?
Unaogopa nini kujifungamanisha na chama kinachotetea ufisadi? Chama kilichochoka?
Kutowahi kufika Lumumba haimaanishi kuwa U'CCM wangu umekwisha. Na sioni haya kuwa mwana CCM. Pia nasikitika kuwa,umeruka kiunzi tayari (cha wapi Pinda anaishi).
Na By-The way; Ufisadi,uhaini na ushenzi ni spirit ya mtu. Sio Chama wala system iwayo yoyote. Hata huko UKAWA wamo wengi na washenzi zaid ya kina Lowasa,Chenge e.t.c.
So; BEWARE!