Waziri mkuu Pinda kuzindua chopper ya Gwajima

Waziri mkuu Pinda kuzindua chopper ya Gwajima

davidm

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
393
Reaction score
129
ghfbnhmvc
 
Attachments

  • DSCN9680.JPG
    DSCN9680.JPG
    244.2 KB · Views: 2,122
Hakika yake "UKIKUBALI NA KUTII UTAKULA MEMA YA NCHI" tena imeandikwa " UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MBINGUNI NA HAKI YAKE NA HAYO MENGINE MTAZIDISHIWA!
Maandiko haya yametimia! Haleluya!
Saa ya Ufufuo na Uzima!
 
Hahaa! hadi Shehe atakuwepo! I wish niwepo ili nijue ataongea kitu gani kuhusu uzinduzi huo. I can't wait for this.
 
Hiyo ni kuzindua chopper tu! Hii nchi kila mtu ni mtawala, ndo maana kila mmoja anautaka uraisi
 
Kesho na keshokutwa utasikia shehena ya mihadarati yakutwa kanisani kwa mchungaji xxxx.Hivi kweli pesa ya sadaka inaweza kununua chopa? basi makanisa kongwe kama catholic,lutheran n.k yangekuwa na chopa kama nzige angani.
 
Umenifurahisha mkuu
 
Wao wamewekeza kwenye miradi mingine kama Universities na Biashara.
 
Living in a material world. Materialism is killing us.
 
Hii ndiyo kazi anayoweza kuifanya kwa ufanisi mkubwa bwana Pinda lakini mambo muhimu yamemshinda kabisa.
 
Back
Top Bottom