fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Hili suala la watu wananchi kukwambia wewe ni mzigo harafu unaanza kuhoji ni aibu, hizi ni kazi za watu kuwa muungwana maadamu katibu mkuu wa chama na wabunge wa CCM wamesema hata kama ni fununu tu kuwa wewe ni mzigo, ningekuwa mimi ningeandika barua ya kujihudhuru sio kuanza kusema eti mimi sio mzigo ila uPM ndo mzigo, kwa hiyo unataka utuaminishe kuwa umewasaidia sana waTZ kwa kuwabebea mzigo huo??? Kangi au Kinana au Nape watakubali huo uongo wako??? kama ni mzigo kwa nini usiombe kutuachia mzigo wetu ili tukome nao??? mbona waliokutangulia hakuna hata mmoja aliyewahi kusema uPM ni mzigo??? Malecela aliwahi kusema urais sio kubeba zege sasa kama urais sio mzigo wewe uPM ni mzigo vipi???? hebu muuone mzee malecela akusaidie, maana kwa maoni yangu uPM ni mzigo iwapo tu mtu amepwaya, kitu ambacho ndo CCM na wabunge, Wananchi wamekiona siku nyingi kwako.
ONDOKA tu ukalime, si ulianzisha kilimo kwanza?? au ulimwanzishia nani??? tumechoka na kupwaya kwako, kauli za ajabu hadi unafikshwa mahakamani ni ushahidi kanzu imekuvaa.
Acha hoja za kutaka kumweka rais ktkt yako na CHAMA,katikati yako na Wabunge, Katikati yako na WANANCHI,kuwa muungwana kama EL, andika kuomba kujihudhuru, wakati wa sherehe za kuzaliwa CCM mwanza rais alisema kitu kama hicho kuwa sasa wananchi wanajua nani anaharibu hali ya hewa haraf kazi yake inakuwa kusafisha, nadhani ni sakata la Jairo au mgomo wa madakitar etc
Usipende kutaka uonewe huruma, kuwa kiume kama EL, after all unasadia zigo zito.
Nawasilisha