Waziri mkuu ondoka utuachie nchi yetu

F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,185
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,185 2,000
Hili suala la watu wananchi kukwambia wewe ni mzigo harafu unaanza kuhoji ni aibu, hizi ni kazi za watu kuwa muungwana maadamu katibu mkuu wa chama na wabunge wa CCM wamesema hata kama ni fununu tu kuwa wewe ni mzigo, ningekuwa mimi ningeandika barua ya kujihudhuru sio kuanza kusema eti mimi sio mzigo ila uPM ndo mzigo, kwa hiyo unataka utuaminishe kuwa umewasaidia sana waTZ kwa kuwabebea mzigo huo??? Kangi au Kinana au Nape watakubali huo uongo wako??? kama ni mzigo kwa nini usiombe kutuachia mzigo wetu ili tukome nao??? mbona waliokutangulia hakuna hata mmoja aliyewahi kusema uPM ni mzigo??? Malecela aliwahi kusema urais sio kubeba zege sasa kama urais sio mzigo wewe uPM ni mzigo vipi???? hebu muuone mzee malecela akusaidie, maana kwa maoni yangu uPM ni mzigo iwapo tu mtu amepwaya, kitu ambacho ndo CCM na wabunge, Wananchi wamekiona siku nyingi kwako.

ONDOKA tu ukalime, si ulianzisha kilimo kwanza?? au ulimwanzishia nani??? tumechoka na kupwaya kwako, kauli za ajabu hadi unafikshwa mahakamani ni ushahidi kanzu imekuvaa.

Acha hoja za kutaka kumweka rais ktkt yako na CHAMA,katikati yako na Wabunge, Katikati yako na WANANCHI,kuwa muungwana kama EL, andika kuomba kujihudhuru, wakati wa sherehe za kuzaliwa CCM mwanza rais alisema kitu kama hicho kuwa sasa wananchi wanajua nani anaharibu hali ya hewa haraf kazi yake inakuwa kusafisha, nadhani ni sakata la Jairo au mgomo wa madakitar etc

Usipende kutaka uonewe huruma, kuwa kiume kama EL, after all unasadia zigo zito.

Nawasilisha
 
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
3,974
Points
1,250
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
3,974 1,250
Nimesoma andiko lako, lakini nataka nikwambie serikali haiongozwi sawa na chadema kwamba mtu akikosea jambo anapigwa tofali, anafukuzwa chama ama anavuliwa nyadhifa. Serikali ni taasisi inayohitaji umakini. Yoote uliyosema hapo ni propaganda sioni sababu ya kutafuta waziri mwingine
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,185
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,185 2,000
Sixgates, kauli ya rais mwanza kirumba ccm, nayo ni propaganda dhidi ya namna jairo scandal was managed while yuko nje ya nchi???
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,185
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,185 2,000
Umzigo aliouona kinana, nape na migiro nao ni propaganda?? kibajaji amekwambia timu mbovu kocha ndo anatimuliwa
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,381
Points
2,000
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,381 2,000
Kama ni kuiokoa serikali hii basi waangalie na mawaziri wengine pia ambao sie watanzania tumewachoka,siioni sababu yoyote kwa mfano umseme Pinda ama Kombani bila kumtaja Maghembe,pasipo kumsema Nchimbi ambaye jeshi lake limefanya maovu ya kupindukia mpaka sembe inauzwa kama sukari mtaani wote hawa hakika ni mafurushi ya mizigo bora hata ya Pinda
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,502
Points
2,000
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,502 2,000
Ccm na serikali yake yote mzigo tuuu
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,185
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,185 2,000
Sasa kibajaji alisema kocha ndo atoke, sijui anamanisha JK au mtoto wa mkulima, maana naona kocha ni JK, mtoto wa mkulima ni kapteni tu wa timu.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
63,057
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
63,057 2,000
PINDA NI LAZIMA AENDE NA MAJI , akapambane na kesi yake mahakamani .
 
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
1,404
Points
0
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
1,404 0
Nimesoma andiko lako, lakini nataka nikwambie serikali haiongozwi sawa na chadema kwamba mtu akikosea jambo anapigwa tofali, anafukuzwa chama ama anavuliwa nyadhifa. Serikali ni taasisi inayohitaji umakini. Yoote uliyosema hapo ni propaganda sioni sababu ya kutafuta waziri mwingine
Kwenye hoja hii CHADEMA imeingiaje? Wapi Katiba ya chadema inazungumzia uongozi wa kupiga tofali aliyekosea? Madhara ya uongozi mbaya ni ya nchi nzima. Acha kukalia kichwa na kutumia viungo vingine kufikiri.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,185
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,185 2,000
Afadhali hata Magufuli ashikirie kwa miaka hii miwili
 
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Messages
4,699
Points
1,225
Kasheshe

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2007
4,699 1,225
Mtoto wa Kulima hamsaidii Rais ipasavyo yeye kama mtendaji mkuu wa serikali!!! COO wa serikali anatakiwa kuonekana wazi anapiga mzigo... hatakiwi kupatikana kwa torch ...
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,185
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,185 2,000
Amekwisha sema Uwaziri Mkuu ni mzigo, ngoja sasa tuone JK kama anaelewa maana ya maneno hayo.
 
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
4,807
Points
1,500
F

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
4,807 1,500
Hili suala la watu wananchi kukwambia wewe ni mzigo harafu unaanza kuhoji ni aibu, hizi ni kazi za watu kuwa muungwana maadamu katibu mkuu wa chama na wabunge wa CCM wamesema hata kama ni fununu tu kuwa wewe ni mzigo, ningekuwa mimi ningeandika barua ya kujihudhuru sio kuanza kusema eti mimi sio mzigo ila uPM ndo mzigo, kwa hiyo unataka utuaminishe kuwa umewasaidia sana waTZ kwa kuwabebea mzigo huo??? Kangi au Kinana au Nape watakubali huo uongo wako??? kama ni mzigo kwa nini usiombe kutuachia mzigo wetu ili tukome nao??? mbona waliokutangulia hakuna hata mmoja aliyewahi kusema uPM ni mzigo??? Malecela aliwahi kusema urais sio kubeba zege sasa kama urais sio mzigo wewe uPM ni mzigo vipi???? hebu muuone mzee malecela akusaidie, maana kwa maoni yangu uPM ni mzigo iwapo tu mtu amepwaya, kitu ambacho ndo CCM na wabunge, Wananchi wamekiona siku nyingi kwako.

ONDOKA tu ukalime, si ulianzisha kilimo kwanza?? au ulimwanzishia nani??? tumechoka na kupwaya kwako, kauli za ajabu hadi unafikshwa mahakamani ni ushahidi kanzu imekuvaa.

Acha hoja za kutaka kumweka rais ktkt yako na CHAMA,katikati yako na Wabunge, Katikati yako na WANANCHI,kuwa muungwana kama EL, andika kuomba kujihudhuru, wakati wa sherehe za kuzaliwa CCM mwanza rais alisema kitu kama hicho kuwa sasa wananchi wanajua nani anaharibu hali ya hewa haraf kazi yake inakuwa kusafisha, nadhani ni sakata la Jairo au mgomo wa madakitar etc

Usipende kutaka uonewe huruma, kuwa kiume kama EL, after all unasadia zigo zito.

Nawasilisha
Bora aondoke kazi imemshainda, Lissu alisema hilo muda mrefu, bado linang'ang'ania UPM. Pinda Iga mfano wa Lowassa, kabla ya Mh JK ajakutosa. Muungwana aambiwi basi, hung'atuka mwenyewe
 
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
1,363
Points
1,500
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2012
1,363 1,500
Aende tu! Binafsi simkubali ta kdg
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,815
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,815 2,000
Umzigo aliouona kinana, nape na migiro nao ni propaganda?? kibajaji amekwambia timu mbovu kocha ndo anatimuliwa
Leo umeamkaje Mkuu
Hivi Serikali inaongozwa toka Kijiweni
Serikali inaongozwa kwa Kero zako tu
Serikali inaongozwa na Wabunge wa CHADEMA? ambao hawatumwi na Wananchi wao ila wakikurupuka tu ni maaamuzi papo kwa papo? mfano maamuzi ya Zitto (fedha za Uswiss9 au Lema
Waziri Mkuu hawekwi pale na wewe kuna njia iliyotumika na akapigiwa kura, sasa waambie CHADEMA wampigie kura
SISI WAKULIMA NA MASKINI TUNAMHITAJI BADO MTOTO WA MKULIMA MIZENGO PINDA
Kukaa kijiweni na Machalii kusema tu kesho Rais toooooooooka sijui ni ndoto au UTOTO HALAFU UNAPITIA jf
 
D

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
1,748
Points
2,000
D

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
1,748 2,000
Cna imani na ushauri wowote kwa sasa kutoka cdm,mbona hawashauri slaa kujiuzulu,tuache chuki tuambiane kstaarabu.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,185
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,185 2,000
pole ukwaju, wakati mwingine maslahi ya wengi ni bora kuliko ya mtu mmoja kama wewe; sio CDM inasema ni wananchi wa TZ, CDM haikusema Mabina apigwe mawe, la hasha hata kidogo lakni wananchi wanasema, tena wanasema kwa vitendo AU UNACHUKI BINAFSI NA UKOMBOZI WA UCHUMI/CDM???
 
S

sheckman

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
425
Points
195
S

sheckman

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
425 195
Wewe ndo fikiri mwisho haswaaaa. Bangi na kiroba haviwezi kuongoza Serikali ukiongeza mirungi
 
pingu mkoka

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
434
Points
225
pingu mkoka

pingu mkoka

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
434 225
Awaachie nchi yenu!! yeye siyo mtanzania?cy mnaropoka tuu
 
Forum statistics

Threads 1,326,865
Members 509,632
Posts 32,237,553
Top