Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

Hapa mh. Waziri mkuu hajatatua tatizo, Kama tatizo Ni pombe, yeye amezuia namna inayotumika kufanya packaging, kumbe pombe aina ya spirit itaendelea kuwepo so matumizi yapl palepale
 
uamuzi uliotolewa na serikali wa kusitisha uzalishaji wa viroba baada ya kikao na wazalishaji, sijaona mahali inatajwa fidia kwa watengenezaji kwa mitambo na mali ghafi walizo nazo, na kwa wauzaji wa jumla na rejareja ambao wana stock walio nunua. kama hakuna fidia, kuna mpango wa wauzaji kurudisha viroba viwandani ili viwekwe kwenye chupa kubwa? ikumbukwe uuzaji wa bidhaa hii haikuwa batili. naiona hasara kubwa kwa wauzaji. mitambo inaweza uzwa nchi zingine ambako wanazitumia.
 
Hivi kati ya Sigara n.a. Viroba kipi kinaliangamiza Taifa...Hivi kati ya Viroba n.a. Sigara kipi kinaifanya serikali itumie pesa nyingi kugharamia matibabu?
 


Amesema wameshakaa na wenye viwanda vya kutengeneza pombe hizo na kuwaambia viroba kuwa kuanzia tarehe 1/3/2017 ni marafuku kutengeneza viroba.

Amewataka watengeneze pombe zenye ukubwa unaokubalika kwani viroba vimekuwa vikitumiwa na wanafunzi.

Amesema zoezi hilo litaenda sambamba na zoezi la kupiga vita dawa za kulevya



Kweli nimeona Kwa nini Illuminati walipinga kweli uwiano Wa kanisa Na serekali.Yani hawa wanadini wameongea kidogo serekali hyo.Kweli Adam weishaput alikuwa Hana kosa
 


Amesema wameshakaa na wenye viwanda vya kutengeneza pombe hizo na kuwaambia viroba kuwa kuanzia tarehe 1/3/2017 ni marafuku kutengeneza viroba.

Amewataka watengeneze pombe zenye ukubwa unaokubalika kwani viroba vimekuwa vikitumiwa na wanafunzi.

Amesema zoezi hilo litaenda sambamba na zoezi la kupiga vita dawa za kulevya


haa haaa hilo ni pigo jingine kwa CDM
 
59a89b3d0710532a6472b03690f59e89.jpg

Sasa sisi tutapigaje kampeini 2020?
 
Hii ni kuwavurugia watu malengo yao,maana walishasajiliwa Tayar na tra wanalipia na walijua kabisa biashara yao ni ya viroba
Mi nadhani tungekuwa tunaenda kwa utaratibu hata kama kuna nchi zinazalisha viroba haina ulazima tz na sisi tuzalishe.........
Kabla ya kumpa mtu kibali tufanye utafiti kwanza
 
Back
Top Bottom