Pombe ya kiroba: Kigwangalla itumiwe hadi mwezi June, Majaliwa itumiwe hadi Machi 2017

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Hapa ndipo mawaziri Wa jpm unaposhindwa kuwaelewa

Katika harakati za kupiga marufuku utengenezwaji, uuzwaji na utumiaji wa pombe ya kiroba, Naibu waziri wa Afya alisema mwisho wa uuzwaji wa pombe hiyo ni mwezi juni, lakini waziri Mkuu naye akaja na lake kuwa mwisho ni mwezi machine mwaka huu. Je tukubali tamko la yupi kati ya hawa mawaziri?

Kwa nini hawawasiliani kabla ya kuzungumza, je kila MTU anataguta kiki kama ilivyo kwa serikali hii.?

Kigwangalla: Serikali kupiga Marufuku Matumizi ya Pombe za VIROBA Kufikia Mwezi wa Sita mwaka 2017

Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017
 
Hii nchi bora ingetawaliwa na wanawake ili wawe wanatoa matamko moja kwa moja kuliko wanavyoyatoa sasa hivi.
 
Hata mpira ukifika elastic limit unakatika,

Sasa hawa jamaa washafika mwisho wa uwezo wao. Hawana jipya.
 
Back
Top Bottom